135 cry
Member
- Sep 22, 2019
- 45
- 35
Kutafuta taste ni tabia za mwanamke malaya, Mimi ninasema jambo nililolifanyia utafiti, wewe unaongea kujifariji humu.
Mmmh hapana nakupinga ww ndio umeoa bikra kujifariji.unamda gani kwenye ndoa yako? Kama ni miwili au mmoja basi iyo ni mihemuko au nguvu za soda.tena usikute umepata wa iraq mmmh [emoji847],apo anakuchekea ukunyuma kawapanga alfu na kukupa visifa vya uongo [emoji1787][emoji1787] eeh Mungu wng.nacheka ila simazuri hayo [emoji23][emoji23][emoji23] wanawake huwajui ww.Shaur lako [emoji112][emoji112]