Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu Jokajeusi pitia huu uzi uone hizo Bikra zinapotoka
 
Bikra haifanyi kazi kwenye mazingira ambayo mwenye bikra ni pisi kali na ww ni njaa kali.

Inafanya kazi vizuri sana kwa zile sura za kipekee. Sura flani hivi kavu, nyeusi tii na shepu flati infinity. Hapo utaikuta bikra na utaenjoy bikra, no stress.

Embu wale tuliooa bikra tuweke passport size za wake zetu.
 
Mwanamke ni kiumbe ambacho ni ngumu kukielewa
mwanamke ukimtumikia vyema atakueshimu na kujitunza haijalishi alikua bikra au sio bikra lakini ukumimuendesha kama gar bovu haijalishi ni bikra au sio bikra mzee ataligawa tu.
so sioni kigezo kwamba bikra alambwi tena mtu wa hivyo akianza tuu kurambwa njee ndo kwisha ata jarbu za kila langi kuliko ambae tyr karambwa uko anajua kila rangi anaamua kutulia
CASE CLOSED [emoji359]
 
Don't take bikra for granted,

Mkuu Jokajeusi huwa nakusoma sana na mawazo yako juu ya bikra. Lakini narudia tena sasa hivi mazingira yamebadilika, bikra si kila kitu ili mwanamke atulie.
 
Don't take bikra for granted,

Mkuu Jokajeusi huwa nakusoma sana na mawazo yako juu ya bikra. Lakini narudia tena sasa hivi mazingira yamebadilika, bikra si kila kitu ili mwanamke atulie.

Hakuna kitu ambacho ni kila kitu.
Ila kuna vitu ambavyo vinakaribia kuwa kila kitu.
 
je kama alitolewa kabla hajamujua ,Mungu ???

Mnyama tuu ambaye hana utashi anajua Mungu sembuse Mtu mwenye utashi.

Mungu sio mpaka ufundishwe, ukishazaliwa automatic unamjua Mungu hata bila kuambiwa
 
Wewe jamaa umekuja kubishana na ndugu Jokajeusi

Lakini jamaa ukimsikiliza point zake ni ukweli kabisa, huwezi linganisha mwanamke alietembea na wanaume zaidi ya watano na mwanamke ambaye ni bikra, hawalingani hata kidogo, so wewe endelea kujipa moyo tu.
Kilidhibitisha hilo mimi nataka nilifanyie kazi , kuna demu nilikuwa natoka nae sasa kazunguka kwa wanaume kama wawili, wiki hii nimeomba gemu kasema atakuja akija ntawaambia ndugu zangu[emoji3][emoji3] hapo ndio utajua maana ya bikra na malaya
 
Bikra haifanyi kazi kwenye mazingira ambayo mwenye bikra ni pisi kali na ww ni njaa kali.

Inafanya kazi vizuri sana kwa zile sura za kipekee. Sura flani hivi kavu, nyeusi tii na shepu flati infinity. Hapo utaikuta bikra na utaenjoy bikra, no stress.

Embu wale tuliooa bikra tuweke passport size za wake zetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha jamani
 
Kilidhibitisha hilo mimi nataka nilifanyie kazi , kuna demu nilikuwa natoka nae sasa kazunguka kwa wanaume kama wawili, wiki hii nimeomba gemu kasema atakuja akija ntawaambia ndugu zangu[emoji3][emoji3] hapo ndio utajua maana ya bikra na malaya
Chairman Lee huyo demu ulimkuta bikra?
 
Back
Top Bottom