Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukulia amemjua MUNGU baada ya anguko la ujana. Naomba unielewe kidogo tu.Mwanamke mwenye hofu ya Mungu lazima aolewe akiwa bikra
Hujawahi kukutana na bikra wewe ndo maan unasema hamna cha maana.Bikra imekuwa bikra kila post bikra bikra tu hamna cha maana [emoji41][emoji41][emoji41]
je kama alitolewa kabla hajamujua ,Mungu ???Mwanamke mwenye hofu ya Mungu lazima aolewe akiwa bikra
Kilidhibitisha hilo mimi nataka nilifanyie kazi , kuna demu nilikuwa natoka nae sasa kazunguka kwa wanaume kama wawili, wiki hii nimeomba gemu kasema atakuja akija ntawaambia ndugu zangu[emoji3][emoji3] hapo ndio utajua maana ya bikra na malayaWewe jamaa umekuja kubishana na ndugu Jokajeusi
Lakini jamaa ukimsikiliza point zake ni ukweli kabisa, huwezi linganisha mwanamke alietembea na wanaume zaidi ya watano na mwanamke ambaye ni bikra, hawalingani hata kidogo, so wewe endelea kujipa moyo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha jamaniBikra haifanyi kazi kwenye mazingira ambayo mwenye bikra ni pisi kali na ww ni njaa kali.
Inafanya kazi vizuri sana kwa zile sura za kipekee. Sura flani hivi kavu, nyeusi tii na shepu flati infinity. Hapo utaikuta bikra na utaenjoy bikra, no stress.
Embu wale tuliooa bikra tuweke passport size za wake zetu.
Chairman Lee huyo demu ulimkuta bikra?Kilidhibitisha hilo mimi nataka nilifanyie kazi , kuna demu nilikuwa natoka nae sasa kazunguka kwa wanaume kama wawili, wiki hii nimeomba gemu kasema atakuja akija ntawaambia ndugu zangu[emoji3][emoji3] hapo ndio utajua maana ya bikra na malaya
Karibu Joline[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha jamani
NANIHuyo jamaa ana matatizo ya akili.