Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Masikini mdada wa watu Hii picha ya kushoto mbona kama wanataka kumchinja 😳😳 walimuokoa okoa vipi mkuu? Maelezo zaidi tafadhali
Hii picha kwa ufafanuzi zaidi inaelezea li simp limemdaka ni nataka kumuoa alafu demu naleta visingizio kwamba hajawahi kukazwa na alikazwa mara moja alipokua mdogo kumbe nyuma ya pazia alilala na miamba zaidi ya hamsini na kilometers kwenye nyapi yake zimesonga mbele sana
 
Na kizazi chako hakiwezi kuwa na baraka kama baba wa familia alifanya uchafu enzi za ujana wake. hizo baraka zinatoka kwa Mungu asiependa uchafu.

Kama enzi za ujana wako ulichezea mabinti za watu unapaswa kuomba msamaha kwa Mungu. Na suala la kusamehewa au kutokusamehewa hiyo inategemeana na mahusiano yako na Mungu na jinsi ulivyo omba msamaha kwake.

Mwanaume kutokuwa na alama za ubikira sio uhuru wa yeye kufanya uasherati.

Jamii za zamani zilikuwa na maadili sana, tofauti na sasa. Madanguro yalikuwepo lakini waliokuwa wanaruhusiwa kwenda huko walikuwa ni wanaume wenye miji yao(walio oa). Vijana walikuwa hawaruhusiwi kwenda kwenye hizo nyumba. Na vijana pia walikuwa hawaruhusiwi kuwa na mahusiano ya kimapenzi yasiyo rasmi na mabinti za watu. Kama mmechumbiana inakuwa inaeleweka kabisa kwenye jamii.
Ukifanya tofauti na hapo unakutana na adhabu za wazee.

Hoja yangu kubwa ni kwamba, Usiandike masuala ya bikira ili kuwafanya watu wengine wajisikie vibaya na wakati wewe mwenyewe sio msafi kiroho.

Wewe utatudanganya hapa lakini ukweli unaujua mwenyewe.
 
Bikra Matter
 
Haya ni mawqzo ya Watu waliozoea kugingewa wake zao na walio Kata tamaa na mapenz na hata Maisha muda mengine.
Hayo uliyoyaandika ni mawazo yako wewe siyo yangu!!

Pole sana kwa hali unayoipitia.
 
Hakuna haki bila wajibu! Timiza kwanza wajibu wako ndo udai haki yako. Jinsia nyingi za kike zimejiharibu zenyewe kwa kujihusisha na ngono mwisho wa siku hule ungavu/nuru ya kuvutia wanaume wamuoe imepotea wameishia kuja majukwaani na kulaani wanaume! Sasa wewe una kete gani ya kukuuza?. Kwanza "K" mdebwedo imetembea kilometa nyingi hadi kuzalishwa nani wa kuinunua?
Mwanaume hela huna!!!! utawezaje kumuhudumia mwanamke?. Ukizingatia ushauri wangu, nyuzi nyingi za mahusihano zitazingatia hili na kutupunguzia wasomaji/watazamaji kero
 
Back
Top Bottom