Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Mkutano kesho, maandalizi mapema hivi!! Ccm watakima maana UKAWA hawanunui watu. Mr Presda anatajiwa aangalie live ili ajue sio picha za kutengeneza
Hongereni tupo pamoja ila jiandae kisaikolojia kuwashangilia wa upande wa pili wakiapishwa kuingia Magogoni nanyi mkiwa wageni waalikwa kwenye hafla hiyo.
 
Lowassa dakika 10 zinamtosha, safari hii aitaji sifa. Magufuli hoi bin taabani
 
Mkuu kwa nini hukuandika kiswahili? Hiki kizungu kimeniacha hoi! That what have been said? Kweli? Open their the mind? Kweli? Kwa ufupi Mkuu umetia aibu!!

Mkuu mimi mwenyewe nimejichekea mwenyewe hapa baada kusoma hichi kingereza,,,na usishangae ni mtu anajiita graduate
 
Akina FaizaFoxy ni kama Funza tu hawajui kipimo cha mahitaji yao...

waliimba hatuchagui Slaa kisa Padre leo wanampigia debe padre aliyeasi Magufuli!!!

Sijui vichwa vyao vimebeba nini.....

Loh! Labda si FaizaFoxy, huyo babu mnafik na Lowassa kamzidi unafik.

Wachagga mmenunuliwa kama wale wa Ohio.
 
Last edited by a moderator:
unawakumbusha watz machungu ya kumchagua mwenye kifafa cha ubongo!

Lowassa hatumchaguwi hata mseme nini.

Wataomchaguwa wachagga aliowanunuwa na wale ma Ku Klux Klan wa Tanzania.
 
Hapo magamba wanatamani wangeweza kununua mvua inyeshe usiku huu kucha kesho jangwani yakutwe mafuriko maana kuna aibu inakuja kuwafuata baada ya kesho mkutano ukifanikiwa kuisha salama!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…