Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Duuh!!!! Huu uzi tayar ushaanza kunikimbiza ngoja niegeshe kdg ntakutana nao bdae...ila sijui itakuwa page ya ngapi.



No signal nitakukurupusha kiongozi wangu..........wewe borosha kwanza ila hapa ni hakuna kulala mpk kielewekeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi Nje ya Mada kidogo....

Umeona chama letu kule limeamka?? Yani Ukawa ni kama LFC, YNWA!!!



Yap! Hakika LVP Fc hakuna tofauti hata kidogo na UKAWA hakiamama! Nakuambia hawa wagonga nyudo wa London tutawashikisha adabu mechi inayofuata!

Niambie Kamanda wangu!
 
Kweli mkuu hiyo, watu wameamua kukesha..wametuliaaa..police hawadhubutu kutia mguu hapo, unamchokoza nyuki alie tulia kwenye mzinga...
Tekeni mitandao kwa picha za fiesta.watu wanafanya kazi .hatuendelezi taifa kwa ahadi hewa na za kutafuta kelele za kishabiki.ccm ahadi lukuki lkni wachache Ndo wanaiangusha serikali..hao ndo tunalala nao mbele.moyo unaniambia ukawa.akili inaniambia magufuli.moyo hupenda pasipo sabab na haiachi kutetea kinachoamini kamwe hata kama ni uongo.Akili huchanganua.hupenda na sabab.haikurukupi.hupima ubaya na uzuri na kuulinganisha .tusichague kwa kukomoa.kazi kwenu wAtanzania..moyo na akili ni yupi Ana maamuzi sahihi.?cha msingi tusihamaki kbla au baada ya uchaguzi
 
Kwahiyo upo uwanjani sahizi au kiherere cha 'be the First' baada ya kupata 'title' itakayouza whole day na kupata wachangiaji.???

Sioni mantiki ya thead usiku huu ilihali hakuna jipya linalofanyika hadi kuche asbh saa4.

Kuna wnaume wengine wana wivu wa Kike. (Benjamin Wiliam Mkapa, Lodi Lofa... au/laa Pius Msekwa)

CC LiverpoolFC
 

teh teh
 
Yap! Hakika LVP Fc hakuna tofauti hata kidogo na UKAWA hakiamama! Nakuambia hawa wagonga nyudo wa London tutawashikisha adabu mechi inayofuata!

Niambie Kamanda wangu!

Niko najiandaa kwa safari ya matumaini. Namiliki uzi mpya #Malofakatikauborawetu#

Kesho Jangwani ni kama Anfield

YNWA Edoboy!!
 
Pa1 sana mdau. Tunaunga mkono 100%.
CCM wataishia kisikiliza taarabu tu😅😅
 
Standalone heshima mbele mkuu kama umelifurumua usiku huu basi sisi tuliokoa mikoani huku hatutabanduka humu mpaka ulimwengu utakaposhuhidia hapo baadaye kwamba MABADILIKO ni lazima.
 
Waandaji wa matukio ya UKAWA ni muhimu mfahamu kuwa kuna wanabadiliko wengi nje ya Dar, nje ya Tz ambao wangependa kuwa updated juu ya maendeleo ya hayo matukio kama maandalizi ya uzinduzi. Sasa inashangaza vipicha vilivyowekwa asubuhi ndio hivyo hivyo vimebaki siku nzima. Ndugu Makene kazi imekushinda. Habari hazitoki kama inavyopaswa kuwa. Unatuangusha. Na kama UKAWA itachukua dola, ni lazima tuachane na fikira zembe za kubana habari.
 
Kuna wnaume wengine wana wivu wa Kike. (Benjamin Wiliam Mkapa, Lodi Lofa... au/laa Pius Msekwa)

CC LiverpoolFC



Huyo mkapa atajutia kauli yake aliyetamka bila breki!

Ulimi kiungo kidogo ila matatizo yake ni makubwa sana!

Wamejichimbia kaburi wenyewe!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…