Nimepiga dera langu la blue na nyekundu na remba langu kubwa hapa, maridadii kabisa, sijawahi kupendeza kiasi hiki.
Peopleeeeez power!
tulia wewe kiherehere cha nini? ni uzinduzi tunataka mgombea jukwaani kueleza sera mbadala sio kuweka walimbwende kuuza sura! au kama ni show ya urembo tujulishane mapema.habari zenu wakuu kwanga niwashkuru kwa uwepo wenu na ufatiliaji wa matukio mbalimbali ya matukio yanayofanyika jangwani naamini kila moja atakuwa na afya njema siku ya leo naomba tuwe pamoja katika suala la kujuzana matukio na kinachojiri Leo jangwani nahamini kuwa kila mtu anayefuatilia Uzi huu ni mwanamapinduzi na pia anataka mabadiliko ombi naomba Mwenye picha zozote za kinachojili jangwani atupie hapa
Tupo namalofa wenzangu tunaelekea jagwani kwa mapenzi yetu tunatembea kwa mguu toka mbagala hadi jagwani . ccm lazima ing'oke mapema hiyo octb 25.
Nimepiga dera langu la blue na nyekundu na remba langu kubwa hapa, maridadii kabisa, sijawahi kupendeza kiasi hiki.
Peopleeeeez power!
Update zimeisha, kuna sambusaNiko arusha huku tuleteeni update
natokea mbezi ya kimara hapa tupo 30 tunaongezekea njiani tuuu
Nakuomba kipenzi cha moyo wangu, nipm nikuone lofa mwenzangu...nakuomba jamani. Sorry hivi hii ni private msg ama nimejibeba jukwaani maana naona kama sio vile...
Leo HAPO mama lishe ...hadi Bia zitakuwapo ...ni Kama festival
Ataimbisha nani? Alhaji Duni Haji au Maalim Seif?
Ilikuwaje hata ma alhaji kujiunga na kwaya za Kanisa?
Nimepiga dera langu la blue na nyekundu na remba langu kubwa hapa, maridadii kabisa, sijawahi kupendeza kiasi hiki.
Peopleeeeez power!