GAS COOKER
Member
- May 14, 2013
- 49
- 10
Nyie hamnipi taaabu kabisa, Katibu wenu mmemkarisha kitako, nyie mkijambishwa kidogo mnaanza tafuta kuonewa huruma na wakati huu tunawakazia kweli mpate na hasara ili baada ya uchaguzi ndio mpotee kabisa. Tunawaandalia harusi yenu andaeni vigeregere vya kutosha
Kuna watu hapo wanajenga magorofa na hawana vibali, kwan hiyo ni kazi ya police jaman jaman nchi mnaipereka wapi???
Tumuone wewe na nani? Hatutaki hotuba tunataka maendeleo kwa speed ya ajabu.Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.
Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.
Eti CCM nao kesho wana Live yao huko Mbeya Star tv, yaan baada ya kuona chadema /UKAWA wana Live na wao wanaandaa yao sasa sijui nani ataangalia Live yao hiyo!!
Hata kesho JK. na Mkapa watakuwa busy na Jangwani ili kujihakikishia macho yao kama nyomi ya watu ni man-made au natural.
Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani
na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili
ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 ,
hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao
kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo.
more news and pictures to come, stay tuned.
Aluta Continua...
Nyie hamnipi taaabu kabisa, Katibu wenu mmemkarisha kitako, nyie mkijambishwa kidogo mnaanza tafuta kuonewa huruma na wakati huu tunawakazia kweli mpate na hasara ili baada ya uchaguzi ndio mpotee kabisa. Tunawaandalia harusi yenu andaeni vigeregere vya kutosha
nchi ina utaratibu......na sheria zifwatwe
Gwajima atakuwepo kutoa burudani?
We ndio zuzu kweli nitajie shughul mojawapo uliyowah kushiriki ukaonyeshwa kibali cha kujenga jukwaa.