Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaandamana kupinga utekaji na mauaji ya raiaHivi kweli fukara maskini unaenda kuandamana kwa ajili ya nchi hii kweli na viongoz wake hata kama ni wapinzani wenye matumbo yanayopasuka kwa kula pesaza kifisadi ,,?
Huu usenge mungu aniepushie mbali kabisa
Hivi kweli fukara maskini unaenda kuandamana kwa ajili ya nchi hii kweli na viongoz wake hata kama ni wapinzani wenye matumbo yanayopasuka kwa kula pesaza kifisadi ,,?
Huu usenge mungu aniepushie mbali kabisa
Hiki chama baba ni wachagga tu hamuoni aibuJohn Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
View attachment 3102528
Alafu ndo tuwape nchi, haiwezekani.Hiki chama baba ni wachagga tu hamuoni aibu
Ccm acheni woga.John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
View attachment 3102528
Sovereignity kama sovereignity. Jingalaosheria ya Polisi inasema kusanyiko la watu wawili au zaidi lenye kutia mashaka ni kusanyiko haramu na linafaa kusambaratishwa.
Hahah..Abduli kasema safari hii ataingia mtaani kuyasambaratisha maandamano. Hatosubiri Polisi kushughulika na waandamanaji, atauwa watu yeye mwenyewe.
Shida inakuja kwamba, unaweza usiandamane halafu ukatekwa na kuuawa. Vipi hapo?Hivi kweli fukara maskini unaenda kuandamana kwa ajili ya nchi hii kweli na viongoz wake hata kama ni wapinzani wenye matumbo yanayopasuka kwa kula pesaza kifisadi ,,?
Huu usenge mungu aniepushie mbali kabisa
Abduli ndio nani mkuu?..Abduli kasema safari hii ataingia mtaani kuyasambaratisha maandamano. Hatosubiri Polisi kushughulika na waandamanaji, atauwa watu yeye mwenyewe.
Sawa, acheni kuteka na kuua raia hovyo.Hiki chama baba ni wachagga tu hamuoni aibu
rubbishHivi kweli fukara maskini unaenda kuandamana kwa ajili ya nchi hii kweli na viongoz wake hata kama ni wapinzani wenye matumbo yanayopasuka kwa kula pesaza kifisadi ,,?
Huu usenge mungu aniepushie mbali kabisa
Duh...!John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
View attachment 3102528
Woga wa hovyo sana, mnawaogopa watu wasio na silaha yoyote wakati Policcm wamesheheni silaha za kivita, washwasha,mbwa,farasi na Shaolin Kung Fu masters.🥱John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
View attachment 3102528