Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.

Screenshot_20240921_231738_X.jpg
 
Haya mapicha picha mbona badooo
Im on ze front sit with my popcorn on me hand nikingojea picha hili mbona bado Trela 😎 hio j3 ndo picha linaanza Hihiiiiiiiiii...
 
Hivi kweli fukara maskini unaenda kuandamana kwa ajili ya nchi hii kweli na viongoz wake hata kama ni wapinzani wenye matumbo yanayopasuka kwa kula pesaza kifisadi ,,?
Huu usenge mungu aniepushie mbali kabisa

Sasa wewe umesema wazi kuwa ni msenge. Usenge ufanye wewe halafu eti unaomba Muumba akuepushie mbali na usenge. Kwani yeye ndiye alikuambia uwe msenge.

Kwenye maandamano wataenda watu wenye akili timamu wanaujua thamani ya uhai wa mwanadamu. Wanaenda kuandamana kupinga ushetani wa kuteka na kuua watu unaofanywa na hawa mashetani. Ninyi wasenge, kama ulivyojitambulisha mwenyewe, hamtakiwi kwenye maandamano, mtayanajisi kwa uchafu wenu.
 
sheria ya Polisi inasema kusanyiko la watu wawili au zaidi lenye kutia mashaka ni kusanyiko haramu na linafaa kusambaratishwa.
 
John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.

View attachment 3102528
Woga wa hovyo sana, mnawaogopa watu wasio na silaha yoyote wakati Policcm wamesheheni silaha za kivita, washwasha,mbwa,farasi na Shaolin Kung Fu masters.🥱
 
Back
Top Bottom