Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

Tarehe hiyo tajwa vijana watakuwa kila kona wakifanya usafi na mitutu yao
 
Sawa lete na watoto wako na wewe kama unao na punguza uvuvi wa kufikiri wewe toto jinga, akili yako ni ile utotoni kama dada aogi nami siogi, kama dada hapigi mswaki nami sipigi mswaki.
basi andamaneni utakachokipata usilaumu tupo tayar kwa lolote kulinda amani ya nchi . iwe mvua iwe jua.
 
Don't try at home
 
Nyie kweli mazuzu mnajitekenya mnacheka wenyewe.
 
basi andamaneni utakachokipata usilaumu tupo tayar kwa lolote kulinda amani ya nchi . iwe mvua iwe jua.
Kaa kwa kutulia basi wewe maumivu yanatoka wapi, anayeandamana huyo ni mtu mzima hauwezi kumpangia kazi ya kufanya.Ooh mara fulani aje na watoto wake, watoto kuwapeleka kwenye shughuli za watu wazima huo ni ukatili na sidhani wanaopinga mikataba mibovu kuna mtu mwenye ukatiri wa hivyo.
 
Acha njaa,fanyakazi.Ukiona mtu analalamika sana ,ujue ni mvivu.
Acha ujinga kuongea upumbavu unazan wanaolalamika wote wana njaa Leo hii Hadi mkuu Wa mkoa wa Moro kaongea point nzuri Sana kuonesha hakubaliani na ujinga wa huo mkataba
 
Bandari day 22 July;Dar es Salaam Mpo Tayari..!

Mikataba yote 39 iliyosainiwa Dubai itawekwa wazi, tutawajua walioliuza Taifa na nini cha kufanya.

 

Attachments

  • IMG-20230716-WA0840.jpg
    320.9 KB · Views: 1
  • IMG-20230716-WA0844.jpg
    224.7 KB · Views: 1
  • IMG-20230716-WA0843.jpg
    247.4 KB · Views: 2
Bandari day 22 July;Dar es Salaam Mpo Tayari..!

Mikataba yote 39 iliyosainiwa Dubai itawekwa wazi,tutawajua walioliuza Taifa na nini cha kufanya.
Hizo nguvu na pesa mgeziwekrza kupata katiba mpya na kupata mfumo wa elimu muzuri na bora tungewaelewa, ila hapo mke kwenye masilahi binafsi mkate wenu una ondolewa
 
hicho kibali cha kuingia mtaani kuandamana anakupeni nani

Ama mnajizima data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…