Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Acha kuzunguka tatizo ni Rais.Wananchi tungeanza na wabunge wale kichapo cha maana adi akili ziwakae sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuzunguka tatizo ni Rais.Wananchi tungeanza na wabunge wale kichapo cha maana adi akili ziwakae sawa
Kama maji hakuna wanywe bia, unaleta porojo wakati watu wengi siku zote wanategemea visima binafsi.Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.
Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima.
Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu maradufu.
Wananchi wanasema, Wameivumilia serikali kwenye mambo mengi sana ikiwemo kuvuruga uchaguzi serikali za mitaa mwaka 2019, Kuvuruga uchaguzi mkuu, Kuwatoza tozo kubwa, Ukatili wa kisiasa, Kuendesha zoezi la wamachinga kihuni. Sasa wanasema hili suala la Maji limewafika shingoni hali ni mbaya.
Inadaiwa Wananchi wanazungumza uwezekano wa kufanya maandamano makubwa ya kudai maji nchini.
Wananchi wanakumbushia kuwa kwenye rasimu ya Warioba MAJI ILIKUWA NI HAKI YA MSINGI ya mwananchi, wanasema kuwa kukataa katiba mpya maana yake ni kukataa wananchi wasipate hayo maji.
Katika mazungumzo yao, wananchi wanasema wanahitaji majibu ya suala la maji haraka sana la sivyo watatoka barabarani na ndoo za maji na magudulia ikiwa ni ishara ya kuonyesha kudai maji!
Wazazi wanalalamika watoto wanaenda shule bila kuoga, Watu wanalalamika wanashindwa kujisitiri chooni vyema sababu ya maji. Watu wanahoji hii nchi ni nchi ya namna gani?
Wakati huo wanahoji, Inakuwaje serikali inatumia matrilioni ya hela kununua ndege halafu inashindwa kujenga miundo mbinu bora ya maji kwa ajili ya jiji la watu milioni 8?
Haya mdogomdogo tutafika. Serikali ijiabdae kwa majibu, Mabomu ya machozi, virungu na bunduki havitoweza kuzuia watu wenye kiu!
Hata mroto angependa nguvu kazi ya taifa wapate maji kuliko kunuka mtaani.Ole wenu narudia ole wenu!
Wana daslam Naona mnacheza na moto Kwa kuleta chokochoko na vile maji hakuna mtaungua bila vipoozeo!
(In kamanda mroto voices)
😁😁😁😁
Wakiandamana uje unitag,Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.
Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima.
Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu maradufu.
Wananchi wanasema, Wameivumilia serikali kwenye mambo mengi sana ikiwemo kuvuruga uchaguzi serikali za mitaa mwaka 2019, Kuvuruga uchaguzi mkuu, Kuwatoza tozo kubwa, Ukatili wa kisiasa, Kuendesha zoezi la wamachinga kihuni. Sasa wanasema hili suala la Maji limewafika shingoni hali ni mbaya.
Inadaiwa Wananchi wanazungumza uwezekano wa kufanya maandamano makubwa ya kudai maji nchini.
Wananchi wanakumbushia kuwa kwenye rasimu ya Warioba MAJI ILIKUWA NI HAKI YA MSINGI ya mwananchi, wanasema kuwa kukataa katiba mpya maana yake ni kukataa wananchi wasipate hayo maji.
Katika mazungumzo yao, wananchi wanasema wanahitaji majibu ya suala la maji haraka sana la sivyo watatoka barabarani na ndoo za maji na magudulia ikiwa ni ishara ya kuonyesha kudai maji!
Wazazi wanalalamika watoto wanaenda shule bila kuoga, Watu wanalalamika wanashindwa kujisitiri chooni vyema sababu ya maji. Watu wanahoji hii nchi ni nchi ya namna gani?
Wakati huo wanahoji, Inakuwaje serikali inatumia matrilioni ya hela kununua ndege halafu inashindwa kujenga miundo mbinu bora ya maji kwa ajili ya jiji la watu milioni 8?
Haya mdogomdogo tutafika. Serikali ijiabdae kwa majibu, Mabomu ya machozi, virungu na bunduki havitoweza kuzuia watu wenye kiu!
Usiangalie mwingine aandamane kwa niaba yako, na wewe uje!hayo ni maneno tu..hakuna atakayetoka barabarani
tulianza na tozo, mara umeme na sasa maji
hamna lolote, ni makelele tu yanapigwa
Unazungumzia Watanzania sisi au "wa kufikirika"?
Unadhani kuna mtu ataenda kuandamana akiona FFU wenye mitutu na maji ya kuwasha na wajeda wakiwa barabarani "wanafanya usafi"? Labda Tz ingine !!
Kwani wewe ishu ya maji siyo tatizo kwako?Wakiandamana uje unitag,
Kwenye mambo ya msingi usiangalie fulani na fulani wameandamana au la. Jiangalie wewe kama wewe, Jambo likikugusa andamana, ila kama unaona ni upuuzi basi achaHivi we unaweza kuandamana wewe? Hao viongozi wanao itishaga maandamano wenyewe ikifika siku ya kuandamana wanatoroka nchini
Imeenda wapi?Mada imehamishwa Jukwaa!
Andamana sasa au nisikupangie muda wako wa kwenda kuandamana?Kwenye mambo ya msingi usiangalie fulani na fulani wameandamana au la. Jiangalie wewe kama wewe, Jambo likikugusa andamana, ila kama unaona ni upuuzi basi acha
Kweli serikali inatakiwa kuwa transparency kwa mambo inayofanya!Wako sahihi kabisa. Huwezi kutumia zaidi ya trilioni moja kuendelea kununua ndege wakati basic needs za watu wako zimekushinda kutimiza. Hii ni dharau.
Hivi kwanini hakuna viongozi viona mbali kiasi cha kujenga "dam" katika mto Ruvu kama "reserve" ya maji na kumaliza kabisa tatizo la uhaba wa vyanzo cha maji Dar?Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.
Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima.
Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu maradufu.
Wananchi wanasema, Wameivumilia serikali kwenye mambo mengi sana ikiwemo kuvuruga uchaguzi serikali za mitaa mwaka 2019, Kuvuruga uchaguzi mkuu, Kuwatoza tozo kubwa, Ukatili wa kisiasa, Kuendesha zoezi la wamachinga kihuni. Sasa wanasema hili suala la Maji limewafika shingoni hali ni mbaya.
Inadaiwa Wananchi wanazungumza uwezekano wa kufanya maandamano makubwa ya kudai maji nchini.
Wananchi wanakumbushia kuwa kwenye rasimu ya Warioba MAJI ILIKUWA NI HAKI YA MSINGI ya mwananchi, wanasema kuwa kukataa katiba mpya maana yake ni kukataa wananchi wasipate hayo maji.
Katika mazungumzo yao, wananchi wanasema wanahitaji majibu ya suala la maji haraka sana la sivyo watatoka barabarani na ndoo za maji na magudulia ikiwa ni ishara ya kuonyesha kudai maji!
Wazazi wanalalamika watoto wanaenda shule bila kuoga, Watu wanalalamika wanashindwa kujisitiri chooni vyema sababu ya maji. Watu wanahoji hii nchi ni nchi ya namna gani?
Wakati huo wanahoji, Inakuwaje serikali inatumia matrilioni ya hela kununua ndege halafu inashindwa kujenga miundo mbinu bora ya maji kwa ajili ya jiji la watu milioni 8?
Haya mdogomdogo tutafika. Serikali ijiabdae kwa majibu, Mabomu ya machozi, virungu na bunduki havitoweza kuzuia watu wenye kiu!
viona mbali hawana nafasi kupata uongozi Bongo.Hivi kwanini hakuna viongozi viona mbali kiasi cha kujenga "dam" katika mto Ruvu kama "reserve" ya maji na kumaliza kabisa tatizo la uhaba wa vyanzo cha maji Dar?
Miundo mbinu ya namna hiyo imejengwa mahali ambapo hapana uhakika wa mtiririko wa maji kwa mwaka mzima na wakafaulu.
Dar miaka nenda rudi kutegemea maji tiririka ya mto na mabadiliko haya ya tabia nchi ni majanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ubadilike. Tozo udai wananchi halafu lawama ya ukosefu wa maji uwape wananchi. Kazi ya serikari ni nini?. Wizara ya maji na taasisi zote zinafanya nini.Mbadilike Wenyewe Kwa Kujali mambo ya Msingi Maji Kila mtu atunze Chanzo
Shida ya wananchi mnawachukulia Chadema sio watanzania. Mtu ametoa wazo la ukosefu wa maji, wewe badala ya kuangalia tatizo linalosemwa unaangalia chadema. Mna hasira na chadema mpaka mnakufuru. Asilimia 95 ya madiwani wabunge na wenyeviti wa mtaa ni CCM , lakini kutatua mgao wa maji na umeme wameshindwa. Halafu wewe unakuja hapa unaisema chadema kwa lipi na mwenye mamlaka unamwacha.Eti hizi ndizo akili za Chadema!! Chama kimeishiwa mikakati mpaka kinatia huruma. Haya itisha maandamano hayo tuone kama utapata hata watu 10.
Hapana yataanzia chimbani kwako.Nasikia maandamano yataanzia mtaa wa ufipa