Pre GE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acheni kutuharibia Tanzania yetu nyie CDM. Kama mnataka andamabeni peke yenu. Waacheni waTanzania waendeshe shughuli zao za kiuchumi. Nyie ni sisimizi tu wala hamuwezi kubadili kitu kwenye mambo ya nchi hii. Kama hamna shughuli semeni tuwaonyeshe fursa
Hutaki kuharibiwa..? Tekeleza wajibu wako!

Ni ujinga mkubwa kuwaacha masisiem mkigawana nchi huku wengine tukiambulia matusi yenu

Shwain
 
Ila kupisha viongozi majizi wapite kwenye njia hizo ni sawa!
Hutumia dakika chache tu wameshapita.We maandamano yaanziie Mbezi Hadi posta au bugurumi Hadi posta watu watakula maandamano siku hiyo? Kaandamaneni porini mkutaka mjini watu waendelee na shughuli zao

Hizo barabara full time mahari na malori yatokayo Dar au kuingia Dar Toka mikoani na nje ya nchi nchi kibao yanapita humo full mnataka ku paralyze uchumi Hadi wa pesa za kigeni Kwa maandamano na kuteka nyara hizo barabara

Haikubaliki
 
Mimi nitaanzia mwanzo wa maandamano hadi mwisho na Bango langu.

PEOPLE'S POWER! ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️ SAUTI YA WATANZANIA 🤝🤝
 
Ngoja tuone. CUF ilidanganywa na UN na OAU/AU na hakuna walichopata. Tanzania haina umuhimu wowote kwa watawala wa dunia kiasi ya kushawishika kuingilia mambo yetu. Sana sana maslahi yao bado yako salama.
 
Keyboard warriors wapo wengi hapa JF lakini ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.Ingizeni vichwa kwa wafanya usafi hatutaki kelele.Tunawangojea kwa hamu
 
Hao waokota makopo safari hii hatutawaogopa ......!!

Nyie mnaohamasisha na kuhalalisha police kuwapiga Watanzania ndiyo manaotishia amani ya Tanzania. Maandamano ya DCM ni ya Amani .... kwa nini watu mnapanic...!?
 
Ngoja tuone. CUF ilidanganywa na UN na OAU/AU na hakuna walichopata. Tanzania haina umuhimu wowote kwa watawala wa dunia kiasi ya kushawishika kuingilia mambo yetu. Sana sana maslahi yao bado yako salama.

Basi ngoja tuyamalize matatizo yetu wenyewe ..... kwa nini tauwaachie CCM peke yao!!

Hii ni nchi yetu wote.
 
Hao waokota makopo safari hii hatutawaogopa ......!!

Nyie mnaohamasisha na kuhalalisha police kuwapiga Watanzania ndiyo manaotishia amani ya Tanzania. Maandamano ya DCM ni ya Amani .... kwa nini watu mnapanic...!?
Maandamano ya DCM?Unaita wanajeshi na polisi waokota makopo?Rahisi sana kuwa shujaa wa keyboard.
 
Acheni kutuharibia Tanzania yetu nyie CDM. Kama mnataka andamabeni peke yenu. Waacheni waTanzania waendeshe shughuli zao za kiuchumi. Nyie ni sisimizi tu wala hamuwezi kubadili kitu kwenye mambo ya nchi hii. Kama hamna shughuli semeni tuwaonyeshe fursa
Tanzania yako wewe na nani? Hata hao chadema ni watanzania wana haki kwa majibu wa Katiba
 
Back
Top Bottom