Pre GE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya peleka makomwe yenu tarehe 24/1 kwenye maandamano halafu mtamjua Chalamila ni nani.
Chalamila ni muumini wa maandamano,

Aliruhusu wananchi waandike hata mabango ya matusi, jambo Hilo CHADEMA hawawezi fanya.
 
CDM inajitafutia matatizo uwezi tangaza tarehe ya maandamano kabla ya kupata kibali cha polisi.

Mantiki ya kuandika barua polisi na wao wajipange ili kuweka ulinzi, sio uwataharifu tu halafu uende kujifanyia mambo.

Worst muda na siku ya maandamano ni katikati ya week na wakati watu wapo busy na shughuli za uzalishaji wao wanataka kufunga njia.

Walau ata ingekuwa siku ya jumapili hao makamanda wa polisi wakose sababu ya kuto kutoa kibali na kulinda maandamano, halafu unataka kufanya maandamano pande mbili siku ya kazi huo sasa ukorofi.

Matatizo mengine ni ya kujitakia, halafu likitokea la kutokea watasema wanaonewa.

Chinese proverb ‘jemedari asiefikiria madhara ya vita kwanza kwa wanawajeshi wake, hafai kuongoza’ sasa uwezi kuchagua siku na muda wa uzalishaji kufanya maandamano, tena kabla ya kupata kibali cha polisi halafu usijue chances are virungu vitahusika.

Huyo mama aendelee kuwachekea tuone mwisho wake. Kuandamana ni haki ya kikatiba, lakini haki hiyo aina maana itumike kulenga kuharibu shuguli zingine za uchumi ilo ni kosa la jinai kwenye penal code.

Watazamaji yetu macho
Viongozi wezi wa kura ni sawa wakipita na misafara yao kusimamisha shughuli za watu.
 
Mdahalo ni muhimu kwa afya ta chama hivyo ni vyema chadema wakashiriki la sivyo ni kukiri udhaifu.
 
TUMIA akili, watoto hawaruhusuwi kujumuika katika maandamano.
Akili tumia wewe hao viongozi watoto wao wote ni watu wazima tena narudia huna akili watoto wa mbowe ni watu wazima watoto wa lissu ni watu wazima!
 
CDM inajitafutia matatizo uwezi tangaza tarehe ya maandamano kabla ya kupata kibali cha polisi.

Mantiki ya kuandika barua polisi na wao wajipange ili kuweka ulinzi, sio uwataharifu tu halafu uende kujifanyia mambo.

Worst muda na siku ya maandamano ni katikati ya week na wakati watu wapo busy na shughuli za uzalishaji wao wanataka kufunga njia.

Walau ata ingekuwa siku ya jumapili hao makamanda wa polisi wakose sababu ya kuto kutoa kibali na kulinda maandamano, halafu unataka kufanya maandamano pande mbili siku ya kazi huo sasa ukorofi.

Matatizo mengine ni ya kujitakia, halafu likitokea la kutokea watasema wanaonewa.

Chinese proverb ‘jemedari asiefikiria madhara ya vita kwanza kwa wanawajeshi wake, hafai kuongoza’ sasa uwezi kuchagua siku na muda wa uzalishaji kufanya maandamano, tena kabla ya kupata kibali cha polisi halafu usijue chances are virungu vitahusika.

Huyo mama aendelee kuwachekea tuone mwisho wake. Kuandamana ni haki ya kikatiba, lakini haki hiyo aina maana itumike kulenga kuharibu shuguli zingine za uchumi ilo ni kosa la jinai kwenye penal code.

Watazamaji yetu macho
Rubbish
 
Kama polisi wapo na kweli mnawategea kwann mlikodisha wale wapuuzi waliozungumza na waandishi wa habar wakijiita muungano wa vyama vya upinzani leo pale seashells hoteli tena muda huohuo ambao mnyika alikuwa anaongea?
C muruhusu Joyce wowo aje kwa mdahalo na mavyeti yake fake?
Ndio mjue CCM ataongoza milele upinzani ni wachumia tumia!
 
Subiri tarehe 24 ndio utajua tofauti kati ya kuijulisha polisi na kupata kibali cha polisi kwenye maandamano.

Ni hivi mapokezi ya Lissu mara zote mbili ile ilikuwa ‘hewala sio utumwa’.

Learn when to stop pushing your luck, uvumilivu una mipaka.

Watazamaji yetu macho
 
Wajitahidi hayo maandamano ya kutokea Buguruni sheli yafike hata Rozana.
 
Back
Top Bottom