Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Ujasiri wenu ni kwenye Twitter na JF ndiyo maandamano yenuChalamila ni Tacco kama wewe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujasiri wenu ni kwenye Twitter na JF ndiyo maandamano yenuChalamila ni Tacco kama wewe tu
Nafuu mimi kapuku kuliko wewe "key board worrior".Tulia wewe Kapuku.....
Nguvu ya umma iko wapi? Ni lini tuliwatuma maandamano? Matakwa ya kakikundi kamoja ka CHADEMA ndiyo umma????Taifa hili ni letu sote.
Bunduki haijawahi shida Nguvu ya Uma.
Nguvu ya umma iko wapi? Ni lini tuliwatuma maandamano? Matakwa ya kakikundi kamoja ka CHADEMA ndiyo umma????
Nabii Mwabukusi atakuwepo,Hakuna maandamano,labda ya kwenda shopping,wafuasi wa chadema wameshindwa kuandamana kumng'oa mbowe kwenye uenyikiti wake wa milele,leo hii wawe na ushawishi wa kuwahadaa watanzania waandamane kwa masrahi ya mbowe, Lissu na mnyika!?
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini maigizo haya
Hata Mbeya mlisema hivyo hivyo,Kwa jinsi navyowajua waTz Hamna maandamano hiyo siku!
Mimi pia ningeshangaa,Kufanya Midahalo na Stupid People ni kupoteza muda.
Mnyika Leo ameongea kimamlaka sana,Ni mtu mjinga tu ndio ataamini Chadema Wako serious 🐼
Watu hawana mikia, Bali wanyama.Enzi za jiwe ndo alikuwa akitamka jambo kila mtu anaficha mkia sie saizi
Mwizi na Muuaji Kamanda wa Wasiojulikana wa Awamu ya Tano kama tungekuwa na Serikali MAKINI huyu Jamaa angekuwa Jela siku nyingi sana.Mimi pia ningeshangaa,
Chama makini kujibizana na kijana mkosa Maadili,
Kijana aliyempiga Mzee wetu Warioba!!
Wapeleke na hoja ya wabunge wawili kila jimboSalaam, Shalom!!
Akiongea kwenye Press Conference, John Mnyika,KM wa CHADEMA, amesisitiza kuwa hawatapoteza muda kufanya mdahalo na Kijana, KM wa CCM Kwa kuwa Kwa Katiba hii, halipo litabadilika.
Msimamo huo umefanana na msimamo wa Nabii Mwabukusi kuwa, kufanya mdahalo na chama kilichokataa HOJA za maridhiano, kilichopuuza Rasimu ya Warioba,chama kilichotupa Hadi mapendekezo ya kikosi KAZI kilichoundwa na CCM yenyewe chini ya mwenyekiti wao.
Amesoma barua alizowaandikia Kutoa taarifa Kwa makamanda wa Polisi wa Dar ambao maandamano hayo yatapita katika maeneo Yao ya KAZI Ili Kutoa ulinzi.
Amesema kuwa maandamano yatagawanyika makundi mawili na destination point itakuwa ofisi za UMOJA wa mataifa.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Mungu ibariki CHADEMA.
Karibuni🙏
Hiyo wananchi tunaikataa.Wapeleke na hoja ya wabunge wawili kila jimbo
Badili bango lisomeke,Mimi nitaanzia mwanzo hadi mwisho na Bango langu.
PEOPLE'S POWER! ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️ SAUTI YA WATANZANIA 🤝🤝
Chadema hilo hawaelewiHiyo wananchi tunaikataa.
Tunataka bunge dogo kupunguza gharama, viti maalum pia viondolewe.