CDM inajitafutia matatizo uwezi tangaza tarehe ya maandamano kabla ya kupata kibali cha polisi.
Mantiki ya kuandika barua polisi na wao wajipange ili kuweka ulinzi, sio uwa taharifu tu halafu uende kujifanyia mambo.
Worst muda na siku ya maandamano ni katika ya week na wakati watu wapo busy wao wanataka kufunga njia.
Walau ata ingekuwa siku ya jumapili hao makamanda wa polisi wakose sababu ya kutoa kibali, halafu unataka kufanya maandamano pande mbili.
Matatizo mengine ni ya kujitakia, halafu likitokea la kutokea watasema wanaonea.
Chinese proverb ‘jemedari asiefikiria madhara ya vita kwanza kwa wanawajeshi wake, hafai kuongoza’ sasa uwezi kuchagua siku na muda wa uzalishaji kufanya maandamano, tena kabla ya kupata kibali cha polisi.
Huyo mama aendelee kuwachekea tuone mwisho wake. Kuandamana ni haki ya kikatiba, lakini haki hiyo aina maana itumike kulenga kuharibu shuguli zingine ilo ni kosa la jinai kwenye penal code.
Watazamaji yetu macho