Hutaki kuharibiwa..? Tekeleza wajibu wako!Acheni kutuharibia Tanzania yetu nyie CDM. Kama mnataka andamabeni peke yenu. Waacheni waTanzania waendeshe shughuli zao za kiuchumi. Nyie ni sisimizi tu wala hamuwezi kubadili kitu kwenye mambo ya nchi hii. Kama hamna shughuli semeni tuwaonyeshe fursa
Ndiyo akili za kimasikini hizi!Waonyesheni hizo barua wananchi maana hao mliowapelekea watakana mara tatu kabla jogoo hqlijawika na watawapiga hivyo ushahidi mzuri ni kuwahusisha wananchi cha kuongeza familia za viongozi wote wawe mstari wa mbele!
Hutumia dakika chache tu wameshapita.We maandamano yaanziie Mbezi Hadi posta au bugurumi Hadi posta watu watakula maandamano siku hiyo? Kaandamaneni porini mkutaka mjini watu waendelee na shughuli zaoIla kupisha viongozi majizi wapite kwenye njia hizo ni sawa!
💯%🙏🙏Acha kutupotezea muda .... CDM wamesema wanafanya maandano ya AMANI. Mnaogopaje maandano ya amani ....!!?
Unamtisha nani?🤔Keyboard warriors wapo wengi hapa JF lakini ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.Ingizeni vichwa kwa wafanya usafi hatutaki kelele.Tunawangojea kwa hamu
Hautishwi unaambiwa lete pua. Tarehe 24 sio mbali.Unamtisha nani?🤔
Hao waokota makopo safari hii hatutawaogopa ......!!Keyboard warriors wapo wengi hapa JF lakini ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.Ingizeni vichwa kwa wafanya usafi hatutaki kelele.Tunawangojea kwa hamu
Ngoja tuone. CUF ilidanganywa na UN na OAU/AU na hakuna walichopata. Tanzania haina umuhimu wowote kwa watawala wa dunia kiasi ya kushawishika kuingilia mambo yetu. Sana sana maslahi yao bado yako salama.
Sileti pua tu nauleta mwili mzima na Bango juu.Hautishwi unaambiwa lete pua. Tarehe 24 sio mbali.
Kwenye keyboard ni lazima uwe shujaa.Jumatano sio mbali.Sileti pua tu nauleta mwili mzima na Bango juu.
Na ni wajibu wangu wa KIKATIBA mimi kama Mtanzanis.
Maandamano ya DCM?Unaita wanajeshi na polisi waokota makopo?Rahisi sana kuwa shujaa wa keyboard.Hao waokota makopo safari hii hatutawaogopa ......!!
Nyie mnaohamasisha na kuhalalisha police kuwapiga Watanzania ndiyo manaotishia amani ya Tanzania. Maandamano ya DCM ni ya Amani .... kwa nini watu mnapanic...!?
Tanzania yako wewe na nani? Hata hao chadema ni watanzania wana haki kwa majibu wa KatibaAcheni kutuharibia Tanzania yetu nyie CDM. Kama mnataka andamabeni peke yenu. Waacheni waTanzania waendeshe shughuli zao za kiuchumi. Nyie ni sisimizi tu wala hamuwezi kubadili kitu kwenye mambo ya nchi hii. Kama hamna shughuli semeni tuwaonyeshe fursa
Maandamano ya DCM?Unaita wanajeshi na polisi waokota makopo?Rahisi sana kuwa shujaa wa keyboard.
Hunijui sikujui, na Bango langu nitaliandika IMHOTEP kwa nyuma njoo na Bunduki uniue.Kwenye keyboard ni lazima uwe shujaa.Jumatano sio mbali.