ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Israel HATENGENEZI F 35 kasome tenaNdiomaana nimekwmbia wewe ni mpumbavu kama hujui Israel pia inatengeneza f35,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel HATENGENEZI F 35 kasome tenaNdiomaana nimekwmbia wewe ni mpumbavu kama hujui Israel pia inatengeneza f35,
Israel hatengenezi F35.Hizo ndege nimesoma mahali ziko 6 tu Israel.Ni ghali sana na hata hizi sita wao wamezipata katika utaratibu wao wa msaada endelevu kutoka USA.Pamoja na kelele nyingi lakini ukweli unabaki Israel hawezi kusurvive vita hata na HAMAS bila ushiriki mkubwa wa USA.Asilimia 100 ya ulinzi wa Israel ni US army.Kabla ya kwenda kuanza kupambana na HEZBALLAH waliomba kupewa masilaha mengi kutoka USA yakiwemo makombora kwa ajili ya IRON DOME na ARROW air defence system.Hata hivyo tayari mzigo umepungua sana kutokana na wingi wa mashambulizi ya HEZBALLAH.Israel HATENGENEZI F 35 kasome tena
Iran kuwa dhohofu kwenye teknolojia ya ndege haimaanishi kiteknolojia yupo chini kabisa maeneo yote.Iran Bado sana kwa Israel , helicopter iliyomuua Rais wa Iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60. Sijakuelewa unazungumzia Marekani au Israeli?
Hilo nalitambuaIran kuwa dhohofu kwenye teknolojia ya ndege haimaanishi kiteknolojia yupo chini kabisa maeneo yote.
Iran ana teknolojia bora kuliko Israel kwenye drone,makombora, multi launch rocket systems,.
Hizo sekta Israel hamgusi Iran hata upunje.
Basi kama unalitambua mkuu usiongee kwa generalization kuwa Iran bado sana kwa Israel.Hilo nalitambua
Mimi sijasema utakua umenichanganya mkuu. Mimi ni shabiki mkubwa wa Iran , urusi na China dhidi ya mabeberuBasi kama unalitambua mkuu usiongee kwa generalization kuwa Iran bado sana kwa Israel.
Muulize kwahiyo mitambo ya THAAD anayopelekewa Israel 🇮🇱 ni kwaajiri ya kulinda tu KUKU wasishambuliwe na kuuwawa?Basi 🇺🇸 USA na Israel 🇮🇱 wote wendawazimuHakuna aliyekufa sasa unajibu nini? Kwanini asiache
Maraa paaa Ayatollah kauawaSisi tunataka wamuue ili show ianze
China na Urusi na mabeberu pia ila uchwara Iran 🇮🇷 hawezi saidiwa hapo atachapika iwe mwisho wa Islamic Republic na kuwa democracyMimi sijasema utakua umenichanganya mkuu. Mimi ni shabiki mkubwa wa Iran , urusi na China dhidi ya mabeberu
Bundle natumia la office 24/7Mkuu ndio umenunua bando leo au ?
Hahahaha 🤣 🤣 kwa hiyo walikuwa ama wanalenga kupiga udongo kumbe?Mpaka watu wafe !? Kitendo cha kupigwa Tu ktk ardhi yako Hiyo tayari ni zaidi ya udhaifu na ni chanzo kamili cha kuwafanya watu waingie vitani
Unaona wivu Iran akishirikiana na urusi na China?China na Urusi na mabeberu pia ila uchwara Iran 🇮🇷 hawezi saidiwa hapo atachapika iwe mwisho wa Islamic Republic na kuwa democracy
Hata kuandika hujuiUgaidi, kwani Izaklabin waliweza kumuokowa?.
Haahahaha magaidi wavaa pedo na makobazi dawa yenu vipigo tuHauna akili
Iran ana sapoti kubwa ya Islamic groups.China na Urusi na mabeberu pia ila uchwara Iran 🇮🇷 hawezi saidiwa hapo atachapika iwe mwisho wa Islamic Republic na kuwa democracy
Hahahah Islamic terrorists ndio hawa wanauliwa na Israel kama utitiri hata wakisaidia Iran 🇮🇷 haitabadilisha kitu boss kuwa mpoleIran ana sapoti kubwa ya Islamic groups.
Ukiona vita inakuja tarajia Hizbollah,Houthi,Taliban na mataifa mengine pale middle east yakiwa upande wake ikiwemo Iraq.
Pia usidhani Russia itakaa pembeni kwasababu itamtumia Iran kuleta balance of power pale middle east na kudhoofisha US influence pale middle east.
Huna hoja unajichekesha tu.Hahahah Islamic terrorists ndio hawa wanauliwa na Israel kama utitiri hata wakisaidia Iran 🇮🇷 haitabadilisha kitu boss kuwa mpole
😄 🤣 😂 😆 😄 hoja inakuja na kipigo kikali dhadi ya Ayatollah as the punishment is still being cooked! Stay cool and prepare yourself and folks fo baby cryHuna hoja unajichekesha tu.
Endelea kubwatuka.
Ila jiulize kwanini USA anaikataza Israel isiingie full out war na Iran.
Kaa jiulize kwanini USA inakataa.
Au wewe una akili zaidi yao!?
Endelea kuota,maana kuota ni sehemu ya usingizi.😄 🤣 😂 😆 😄 hoja inakuja na kipigo kikali dhadi ya Ayatollah as the punishment is still being cooked! Stay cool and prepare yourself and folks fo baby cry