Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Israel HATENGENEZI F 35 kasome tena
Israel hatengenezi F35.Hizo ndege nimesoma mahali ziko 6 tu Israel.Ni ghali sana na hata hizi sita wao wamezipata katika utaratibu wao wa msaada endelevu kutoka USA.Pamoja na kelele nyingi lakini ukweli unabaki Israel hawezi kusurvive vita hata na HAMAS bila ushiriki mkubwa wa USA.Asilimia 100 ya ulinzi wa Israel ni US army.Kabla ya kwenda kuanza kupambana na HEZBALLAH waliomba kupewa masilaha mengi kutoka USA yakiwemo makombora kwa ajili ya IRON DOME na ARROW air defence system.Hata hivyo tayari mzigo umepungua sana kutokana na wingi wa mashambulizi ya HEZBALLAH.
 
Iran Bado sana kwa Israel , helicopter iliyomuua Rais wa Iran ilitengenezwa marekani miaka ya 60. Sijakuelewa unazungumzia Marekani au Israeli?
Iran kuwa dhohofu kwenye teknolojia ya ndege haimaanishi kiteknolojia yupo chini kabisa maeneo yote.
Iran ana teknolojia bora kuliko Israel kwenye drone,makombora, multi launch rocket systems,.
Hizo sekta Israel hamgusi Iran hata upunje.
 
Mimi sijasema utakua umenichanganya mkuu. Mimi ni shabiki mkubwa wa Iran , urusi na China dhidi ya mabeberu
China na Urusi na mabeberu pia ila uchwara Iran 🇮🇷 hawezi saidiwa hapo atachapika iwe mwisho wa Islamic Republic na kuwa democracy
 
China na Urusi na mabeberu pia ila uchwara Iran 🇮🇷 hawezi saidiwa hapo atachapika iwe mwisho wa Islamic Republic na kuwa democracy
Iran ana sapoti kubwa ya Islamic groups.
Ukiona vita inakuja tarajia Hizbollah,Houthi,Taliban na mataifa mengine pale middle east yakiwa upande wake ikiwemo Iraq.
Pia usidhani Russia itakaa pembeni kwasababu itamtumia Iran kuleta balance of power pale middle east na kudhoofisha US influence pale middle east.
 
Hahahah Islamic terrorists ndio hawa wanauliwa na Israel kama utitiri hata wakisaidia Iran 🇮🇷 haitabadilisha kitu boss kuwa mpole
 
Hahahah Islamic terrorists ndio hawa wanauliwa na Israel kama utitiri hata wakisaidia Iran 🇮🇷 haitabadilisha kitu boss kuwa mpole
Huna hoja unajichekesha tu.
Endelea kubwatuka.
Ila jiulize kwanini USA anaikataza Israel isiingie full out war na Iran.
Kaa jiulize kwanini USA inakataa.
Au wewe una akili zaidi yao!?
 
Huna hoja unajichekesha tu.
Endelea kubwatuka.
Ila jiulize kwanini USA anaikataza Israel isiingie full out war na Iran.
Kaa jiulize kwanini USA inakataa.
Au wewe una akili zaidi yao!?
😄 🤣 😂 😆 😄 hoja inakuja na kipigo kikali dhadi ya Ayatollah as the punishment is still being cooked! Stay cool and prepare yourself and folks fo baby cry
 
😄 🤣 😂 😆 😄 hoja inakuja na kipigo kikali dhadi ya Ayatollah as the punishment is still being cooked! Stay cool and prepare yourself and folks fo baby cry
Endelea kuota,maana kuota ni sehemu ya usingizi.
Ila mid east Iran ndio kiboko ya mazayuni.
 
Back
Top Bottom