Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
 
Hao wanatoa ushauri lakin siyo kufatana kila sehemu .wastaafu wengi wamekuwa wakitoa ushauri kwa viongozi wa sasa but kikwete imekuwa too much kila sehemu yupo?

Na shida kubwa ni kwamba inaonekana kikwete anapendelea familia yake .angali mtoto wake na mke wake hawakuwa na mpinzani

Kumbuka kikwete na yey ni sehemu ya wachakatahi wa majina .ndio maana kilele zimekuwa nyingi sana kila sehemu

Watanzinia sasa tumeamka
#kaata_wahuni.
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Hatuiishi historia hasa mbaya tunaiishi leo ndomana mambo hubadilika. Mazuri hayaendi likizo Bali mabaya yatapingwa leo hata kesho na milele! Wote tuseme Amina.
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Wale walikuwa wanashauri kwa kukemea maovu... Huyu anwavuta wenzake watende maovu kwa maslahi yake!
Jifunze kutofautisha!
 
Wewe umekpsa akili kabisa. Nyerere hakuwahi kuwa mshauri wa Mwinyi. Nyerere alikuwa anakemea maovu. Huelewi tofauti ya kukemea, kuonya na kushauri.

Nyerere baada ya kustaafu alikuwa akionya na kukemea mambo ya hovyo.

"Kiongozi ni laxima aheshimu katiba. Kiongozi lazima aamini maamuzi ya vikao. Siyo vikao vimefanya maamuzi, yeye anaenda nyumbani anajadiliana na mkewe, halafu kesho yake mnamwona kiongozi anafanya yaliyo tofauti na maamuzi ya kikao" - Nyerere.
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Acha ujinga, Nyerere halinganishwi na Rais Mstaafu yeyote.
Tuambie kama Mama Nyerere alikuwa mbunge
Tuambie mtoto wa Nyerere aliyekuwa waziri
Tuambie Nyerere alijengewa nyumba ngapi na serikali

Mwalimu is an icon asiyelinganishwa na mtu yeyote.
Hilo mtoa mada ulielewe vizuri.
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Kwani wewe ukisema jambo leo inakuwa ni kwa sababu hata huko nyuma uliwahi kusema? Na je ikitokea hujawahi kusema, ndiyo kusema usiseme tena? Is that the type of reasoning are you advancing?
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Shida siyo ushauri. Tatizo nani anashauri tokea lini kipofu akaongoza njia .halafu anaitwa boss wa Raisi
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Huyu hatoi ushauri akawaachia wenye madaraka wafanye yeye anatenda. Ushawahi msikia akiitisha press conference kushauri , yeye utamshtukia kwenye action tu. Warioba tunasikia taarifa zake kupitia waandishi wa habari huyu unapomuona au kumsia unakuta tayari ameshika jembe analima, hiyo ndio tofauti kubwa na wenzie. Atoe ushauri akiwa amekaa kwake anakunywa kahawa na sisi tusikie huo ushauri, mwenye nchi atajua cha kufanya kupitia ushauri wake ndivyo akina mwinyi walivyo ishi na akina Nyerere. Mbona yeye alivyokuwa madarakani hatukuwaona wakina mkapa na mwinyi wako front!
 
Usimtee Kikwete. tatizo la Kikwete siyo kutoa ushauri, bali ushauri wa upigaji yeye na genge lake la mafisadi na wana mtandao wasio na huruma na rasilimali za watanzania. Nyerere hadi nakufa hakuwa hata na nyumba ya maana maana alikuwa kwa ajili ya Watanzania. Kikwete ni fisadi na maekuwa na kiherehere sana za ushauri kwa maslahi yake na genge lake.
 
Huyu hatoi ushauri akawaachia wenye madaraka wafanye yeye anatenda. Ushawahi msikia akiitisha press conference kushauri , yeye utamshtukia kwenye action tu. Warioba tunasikia taarifa zake kupitia waandishi wa habari huyu unapomuona au kumsia unakuta tayari ameshika jembe analima, hiyo ndio tofauti kubwa na wenzie. Atoe ushauri akiwa amekaa kwake anakunywa kahawa na sisi tusikie huo ushauri, mwenye nchi atajua cha kufanya kupitia ushauri wake ndivyo akina mwinyi walivyo ishi na akina Nyerere. Mbona yeye alivyokuwa madarakani hatukuwaona wakina mkapa na mwinyi wako front!
Hata huo unao semwa kuwa ushauri, tazama uzito wa ushauri wenyewe ulivyo. Utalinganisha vipi ushauri anaoutoa Warioba kwa mfano na huu wa Kikwete?
 
Back
Top Bottom