nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Nye
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Ulikuwepo wakati huo? JK ameiba nini au umemeza upuuzi wa humu jukwaani, tumia akili acheni chuki na kuishi kwa hisia.Nyerere alikua akishauri mambo ya msingi...
Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...
Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?