Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Kikwete ameshauri utekaji na mauaji ya raia wema.
Muda si mrefu Mungu atasikia kilio cha waliopoteza ndugu zao.
 
Unw
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Unamlinganisha baba wa Taifa,na hizi, takataka!
 
Angalau aliweka kiongozi wa maana...

Kikwete amefanya nini cha maana nchi hii?
Hatuwezi kufanana ktk uelewa.
Hivi wajua wapo mamilioniya watu wanaona Muhammad hakufanya lolote la maana na wanamlaani hadi kesho?
Wajua kuna mamilioni ya watu wanamwona Yesu hakufanya la maana na wengine wakathubutu hata kumuua na kumtundika msalabani?
Wajua kuna mamilioni walilia sana kufa kwa Hitler na wanatamani apatikane Hitler mwingine?
Sisi ndio binadamu na ndivyo alivyotuumba Muumba wetu.
Kwako Kikwete hakufanya la maana kama ambavyo wanaona Magufuli hakufanya la maana.
 
Nyerere alikua akishauri mambo ya msingi...

Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...

Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?
Kwa miradi aliyoiacha magufuli,deni la taifa ilikua lazima liongezeke hata kama jpm mwenyewe angekuwepo,miradi yote ile hamna uliosimama,kibaya zaidi walalamika wa deni la taifa hao hao ukikamilishwa mradi kipindi hiki mnasema ni maono ya magu,kingine TZ pamoja na wizi na miradi yote bado hatuko kwenye zone ya wadaiwa sugu,kuna nchi zipo kwenye zone ya wadaiwa sugu na deni kubwa kuliko sisi na hawana miradi mikubwa kama yetu
 
Anayeshauri pumba lazima akemewe!!

Mtu mzima anadangaya waziwazi mchana kweupe at mwanae alipita bila kupingwa 2020!!

Halafu Nyerere hakuishia kushauri kwa Mwinyi tu,alikuwa mkosoaji pia hadi awamu ya Mkapa refer ubinafsishaji wa benki ya NBC!
 
Mimi nijitundike kwa sababu ya mtu fukara asiweza kufikiria vema?Siwezi fanya hivyo .Na sitafanya ila ukweli nitasema tu.
Ukiona unachukia utajiri na matajiri basi Dunia imekupiga.Fanya kazi kwa bidii wacha majungu na husda.Chuki ikikuzidi jitundike.
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Wewe unasumbuliwa na mapepo sibure...
uliona Nyerere anashauri nchi iuzwe? Bandari nk.
Uliona akimpa mkewe na mwanawe ubunge bila kupingwa?
Uliona akishirikiana na wahindi kuwauzia migodi?
Uliona akilazimisha bandari kule butiama?
Ulimuona akifanya uhuni wakijinga jinga??
Tunapotetea nchi ficha mapepo yako acha nchi ikombolewe mnafiki mkubwa
 
Nyerere alikua anashauri au alikua anakosoa maovu yaliyokuwa yanafanywa na serikali iliyokuwa inaongozwa na Chama chake...JK wa sasa analaumiwa kwa kutoa ushauri au kupendekeza masuala ambayo kwa macho ya walio wengi wanaona ushauri wake unavunja kanuni na katiba ya Chama Chake.
 
Hao wanatoa ushauri lakin siyo kufatana kila sehemu .wastaafu wengi wamekuwa wakitoa ushauri kwa viongozi wa sasa but kikwete imekuwa too much kila sehemu yupo?

Na shida kubwa ni kwamba inaonekana kikwete anapendelea familia yake .angali mtoto wake na mke wake hawakuwa na mpinzani

Kumbuka kikwete na yey ni sehemu ya wachakatahi wa majina .ndio maana kilele zimekuwa nyingi sana kila sehemu

Watanzinia sasa tumeamka
#kaata_wahuni.
Kataa nyumbu
 
Fuatilia uchaguzi wa ccm ambapo magufuli anachaguliwa mkapa alisema asiyetaka atoke ingine nyerere akiwa mstaafu aliivunja G 55 !
 
Back
Top Bottom