bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
I will not fatigue your mind with particulars.......Uko first year?
I will not fatigue your mind with particulars.......Uko first year?
Angalia umri wa Maaskofu,WALIKUWA MAPADRE,WALIKUWA HAWAJAWA MAASKOFU, Maaskofu wote sasa ni wamekuwa Maaskofu kuanzia mwa 1998 na kuendelea, Nyerere alitoka madarakani 1985.Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Kwa hiyo mwaka 1985 kulikuwa hakuna maaskofu?Hoja dhaifu sana.Angalia umri wa Maaskofu,WALIKUWA MAPADRE,WALIKUWA HAWAJAWA MAASKOFU, Maaskofu wote sasa ni wamekuwa Maaskofu kuanzia mwa 1998 na kuendelea, Nyerere alitoka madarakani 1985.
NYERERE MWENYEWE NCHI ILIMSHINDA ALIWEZAJE KUWA CRITIC NA MSINGI WA KUFELI ALIUJENGA YEYE,UDINI TUH NA SAFARI HII TUTAHAKIKISHA HZO MIMBA ZENU ZA CHUKI MNAZAATofauti ya Nyerere na Kikwete ni kuwa Nyerere alikuwa critic wa rais aliyeko madarakani wakati Kikwete ni Chawa wa rais aliyeko madarakani.
Acha kabisa kumlinganisha mwanafalsafa na chawa
Alikuwa akishauri tu akiwa pembeni kama anavyofanya warioba na butiku. Kikwete ni kama kiongozi mwandamizi wa serikali.Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Sijui kwa nini mnamtumia Nyerere lakini alikua mwenyekiti wa Chama mpaka 1990. Pia alikua mjumbe wa Kamati kuu. Ni ujumbe ambao Magufuli aliwaondolea. Tumia haki yake ya kikatiba ya kuongea na kushauri lakini Nyerere asiwe kisa chenu aisee.Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Ulisikia Nyerere alishauri vitu vya hovyo kama hivi vinavyoshauriwa sasa hivi? Ulisikia Nyerere ameshauri watu watekwe au wapotezwe?Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Huyu hatoi ushauri akawaachia wenye madaraka wafanye yeye anatenda. Ushawahi msikia akiitisha press conference kushauri , yeye utamshtukia kwenye action tu. Warioba tunasikia taarifa zake kupitia waandishi wa habari huyu unapomuona au kumsia unakuta tayari ameshika jembe analima, hiyo ndio tofauti kubwa na wenzie. Atoe ushauri akiwa amekaa kwake anakunywa kahawa na sisi tusikie huo ushauri, mwenye nchi atajua cha kufanya kupitia ushauri wake ndivyo akina mwinyi walivyo ishi na akina Nyerere. Mbona yeye alivyokuwa madarakani hatukuwaona wakina mkapa na mwinyi wako front!
nyinyi mnaakili gani?Waislam ndivyo mlivyo hamnaga akili
Je, unajua deni kubwa liliachwa na Utawala wa Mwl. Nyerere?Nyerere alikua akishauri mambo ya msingi...
Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...
Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?
Sasa ulidhani vita ya kulinda mipaka ya nchi ilipiganwa kwa fedha za makuti?Je, unajua deni kubwa liliachwa na Utawala wa Mwl. Nyerere?
We huoni nchi ikishikwa na wakristo inavyo tamalaki? Hiyo ndiyo akili yenyewe, we tuzama mara zote nchi ikishikwa na waislam nini kinatoke, rejea mwinyi,rejea kikwete na sasa huyu mama chaudele wenu, na sijuwagi kwanini mafisadi wengi n waislamnyinyi mnaakili gani?
Yule Baba Askofu kachemka sana kumshambulia JK mimbarini.Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Samia anaweza kuwa rais mwenye mafanikio kuliko wote watano waliomtangulia. Unaposema mambo yanaharibika inabidi uwe muwazi zaidi.Inategemea alikuwa anatoa ushauri upi? Huenda manufaa yalionekana, Watu wanazungumza kwa sababu wanaona mambo yanaharibika siku hadi siku huku Mstaafu akiwa karibu na Serikali.