Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Anayeshauri pumba lazima akemewe!!

Mtu mzima anadangaya waziwazi mchana kweupe at mwanae alipita bila kupingwa 2020!!

Halafu Nyerere hakuishia kushauri kwa Mwinyi tu,alikuwa mkosoaji pia hadi awamu ya Mkapa refer ubinafsishaji wa benki ya NBC!
Unajuaje kama Kikwete hamkosoi Samia wakiwa mbali ya kamera?.

Mashambulizi dhidi ya JK ni chuki za kipuuzi ambazo hazina maana yoyote.

Uhai ni siri ya Mungu, ndio amepanga JK awe anapumua tarehe ya leo ndio aliyepanga JPM aondoke duniani March 2021.
 
Huyu hatoi ushauri akawaachia wenye madaraka wafanye yeye anatenda. Ushawahi msikia akiitisha press conference kushauri , yeye utamshtukia kwenye action tu. Warioba tunasikia taarifa zake kupitia waandishi wa habari huyu unapomuona au kumsia unakuta tayari ameshika jembe analima, hiyo ndio tofauti kubwa na wenzie. Atoe ushauri akiwa amekaa kwake anakunywa kahawa na sisi tusikie huo ushauri, mwenye nchi atajua cha kufanya kupitia ushauri wake ndivyo akina mwinyi walivyo ishi na akina Nyerere. Mbona yeye alivyokuwa madarakani hatukuwaona wakina mkapa na mwinyi wako front!
Na tukiweka mahaba ya Udini na Uccm pembeni akuhitaji wala Elimu kubwa kuonana Kikwete ndio anaongoza Nchi mbaya zaidi anaunda kundi dogo la kifalme ili watutawale milele
 
Si alikua mkatoliki mwenzao, yule gaidi wa kikatoliki Magufuli alivyokua madarakani kateka na kuua kapiga risasi kina Lissu ila hatujaskia wakifunga Novena tukaona wanampa vikapu achangishe sadaka kanisani
Lisu na yeye ni mkatoriki. Sasa hapo dini iliingiaje
 
Si alikua mkatoliki mwenzao, yule gaidi wa kikatoliki Magufuli alivyokua madarakani kateka na kuua kapiga risasi kina Lissu ila hatujaskia wakifunga Novena tukaona wanampa vikapu achangishe sadaka kanisani
Na sadaka ya ujenzi wa msikiti ikachangwa kanisani, Acha udini
 
Kwa hiyo mwaka 1985 kulikuwa hakuna maaskofu?Hoja dhaifu sana.
Wewe ni mpumbavu!!😅😅 Ameuliza wanaotoa tamko walikuwa wapi!!!?? Najibu walikuwa mapadre wa kawaida, na wengine walikuwa waseminary.

Ubaya wa kukosa elementary knowledge ya philosophy, hasa Branch ya LOGIC, 😅😅🤣🤣🤣 upo KUBWA JINGA
 
Wisdom is chasing you but you are always faster. Umeelewa hata nilichoandika?Unaweza kuzungumzia logic?Paraconsistent logic ndio inakusumbua ingawa hujui hata ni field ipi kwenye logic.
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Nchi hii ni udini kwa kwenda mbele. Waliosababisha mauaji ya kimbali Rwanda ni hawa wakatoliki. Maslahi yao yameguswa wanapiga kelele mpka kumhusisha Mungu ni upuuzi
 
Nyerere alikua akishauri mambo ya msingi...

Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...

Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?
hayo ni mawazo yako finyu. Jk haezi kuwaza kama unavyowaza ujinga na umaskini. the gentleman is an ecomist he knows what he is doing. Afterall debt financing is so much advantageous as compared to equity financing. Ask any economist atakeambia hivyo. achana na hawa mbulula maaskofu waliosoma theology tu
 
Nchi hii ni udini kwa kwenda mbele. Waliosababisha mauaji ya kimbali Rwanda ni hawa wakatoliki. Maslahi yao yameguswa wanapiga kelele mpka kumhusisha Mungu ni upuuzi
Kweli kabisa
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
We huoni nchi ikishikwa na wakristo inavyo tamalaki? Hiyo ndiyo akili yenyewe, we tuzama mara zote nchi ikishikwa na waislam nini kinatoke, rejea mwinyi,rejea kikwete na sasa huyu mama chaudele wenu, na sijuwagi kwanini mafisadi wengi n waislam
eti ee ila rohoni unajua kuwa viongozi wailslamu ndoo wanaleta neema. waulize wafanyakazi wa selikali watakupa jibu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Samia anaweza kuwa rais mwenye mafanikio kuliko wote watano waliomtangulia. Unaposema mambo yanaharibika inabidi uwe muwazi zaidi.

Nafsi zao zinashindwa kukubaliana na ukweli kwamba hawakutegemea muda huu JPM awe tayari keshaondoka duniani na nchi iwe inaongozwa na mwanamama wa kiislam.
Hivi unafuatilia kweli jinsi mambo yanavyoenda au upo kishabiki zaidi? Angalia Rasilimali zetu jinsi zinavyobufaisha Watu wachache hasa wageni, sehemu muhimu kama Bandali unawapaje wageni ili waendeshe?

Leo hii sekta ya Madini wanufaika wakubwa ni wageni ukiacha huyu Rostam Aziz ambaye naye huwezi kusema kwa asilimia zote kuwa ni Mtanzania.

Wananchi wa hali ya chini wanatozwa Tozo za kila aina ikiwemo kwenye Miamala na LUKU, lakini Matajili wakubwa kama GSM wanapewa msamaha wa Kodi.

Demokrasia imeminywa, Mtu akikosoa tu Serikali anawekewa vikwazo vya kila aina ikiwemo kufunguliwa kesi, kufungiwa Biashara na hata kutekwa na kuuawa.

Hayo ni machache tu, labda useme hayo mafanikio yapo kwenye sekta ipi? Tofauti na hapo labda wewe pia ni mnufaika wa haya yanayoendelea.

Binafsi huwa sibagui Mtu kutokana na jinsia yake au dini yake, suala la jinsia ya Mtu au dini linahusiana vipi na uwezo wa Mtu kuongoza?
 
hayo ni mawazo yako finyu. Jk haezi kuwaza kama unavyowaza ujinga na umaskini. the gentleman is an ecomist he knows what he is doing. Afterall debt financing is so much advantageous as compared to equity financing. Ask any economist atakeambia hivyo. achana na hawa mbulula maaskofu waliosoma theology tu
sawa economist...

fafanua sasa kitaalamu...

kwanini deni linakua na hatuoni kinachoendelea...

kwanini pesa mliyokopa ni nyingi kuliko mlichokifanya?
 
Unajuaje kama Kikwete hamkosoi Samia wakiwa mbali ya kamera?.

Mashambulizi dhidi ya JK ni chuki za kipuuzi ambazo hazina maana yoyote.

Uhai ni siri ya Mungu, ndio amepanga JK awe anapumua tarehe ya leo ndio aliyepanga JPM aondoke duniani March 2021.
Mizoga yote sasa ikpo jukwaani; kwa hiyo uvundo unakuwa ni mkali kabisa: huku yupo Tlaatlaah,; pale mzoga Kavulata na Stuxnet; na wewe hapa kwa nafasi yako ya uongozi wa timu ya mizoga inayonufaika kutokana na Genge?

Kikwete ni mhujumu mkubwa wa nchi hii, na wewe hili unalijuwa vyema tokea kwenye nafasi zote alizowahi kuzishika kiuongozi. Sasa ni kama anajiona kuwa kachelewa kuliangamiza taifa hili moja kwa moja, kwa hiyo anahaha amalize kazi kabla uhai wake haujafikia kikomo.
Nenda kamshauri, kwa vile unajiona unaye ukaribu naye; kwamba hata hiyo heshima ndogo aliyojiwekea kwa baadhi ya mizoga ya aina yako (kwa sababu zijulikanazo), nayo itayeyuka. Atapoteza kila kitu.
 
Back
Top Bottom