Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Hakuna umwagaji wa damu ndani ya JMT na hautakuja utokee siku za karibuni, ondokaneni na dhana za kubuni hizo.
Hivi kumwaga damu hadi iwe damu kiasi gani ndipo ujue imemwagika. Hao wanaotekwa na kuuliwa na dola siyo damu inayomwagika?
 
Hivi kumwaga damu hadi iwe damu kiasi gani ndipo ujue imemwagika. Hao wanaotekwa na kuuliwa na dola siyo damu inayomwagika?
Tofauti na vurugu za mataifa kama Sudan na ilivyokuwa Nigeria. Samia anakuza uchumi kwa kasi kubwa, inabidi utazame yanayofanyika huko mikoani uweze kujua nguvu inayotumika katika kuleta ustawi.
 
Tofauti na vurugu za mataifa kama Sudan na ilivyokuwa Nigeria. Samia anakuza uchumi kwa kasi kubwa, inabidi utazame yanayofanyika huko mikoani uweze kujua nguvu inayotumika katika kuleta ustawi.
Unasema ustawi unakua uchumi unakua, mbona umaskini ndio unazidi kuongezeka? Umaskini kwa sasa upo 40% kutoka 26%
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Acha u kobazi mkuu. Stori za mudi ni uongo
 
Unasema ustawi unakua uchumi unakua, mbona umaskini ndio unazidi kuongezeka? Umaskini kwa sasa upo 40% kutoka 26%
Huwezi kuukwepa umaskini, Nigeria ni taifa kubwa kiuchumi lakini wenye mali hawazidi asilimia 35.

California jimbo tajiri Marekani na linatoa mchango mkubwa kwenye uchumi mkuu lakini katika mitaa ya hollywood wamejaa maskini wanaoishi kwenye nyumba za maboksi.

Samia ameitekeleza miradi yote mikubwa aliyoachiwa na hayati JPM na ameweza kuanzisha miradi yake mwenyewe.

Maghorofa ya Kawe huku njia ya baharini yalikuwa magofu matupu wakati wa JPM hivi sasa Samia anayaendeleza na pale tanganyika packers kajenga maghorofa 10 pia anajenga sports complex yenye kuweza kuchukua watu 16,000 itakuwa ya pili kwa ukubwa barani afrika.
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
J.K Nyerere au Warioba , wastaafu Wana shauri pale misingi ya nchi inapo yumbishwa na Mtu Mkubwa kwenye nchi ambaye ni vigumu mtu wa chini kumuelekeza aliyekosea, na sio kama huyu asiyetaka kustaafu, anatakiwa kushauri pale misingi ya nchi inapo tetereshwa na Kiongozi aliyepo, kama haijatokea hivyo ni kumuachia Muhusika afanye kazi yake akisaidiwa na wasaidizi wake.
 
Hakuna umwagaji wa damu ndani ya JMT na hautakuja utokee siku za karibuni, ondokaneni na dhana za kubuni hizo.

Loh!! Kwani wewe ni punguani?

Yule Ali Kibao, hakuwa na damu mwilini?

Ile ya Mdude iliyotapakaa barabarani, yalikuwa ni mataputapu unayokunywa?
Yule Sativa alipobomolewa kichwa chake kwa risasi, kilichokuwa kimemwagika chini, ulikuwa mk.ojo wako?
 
Tofauti na vurugu za mataifa kama Sudan na ilivyokuwa Nigeria. Samia anakuza uchumi kwa kasi kubwa, inabidi utazame yanayofanyika huko mikoani uweze kujua nguvu inayotumika katika kuleta ustawi.

Pia huyo mama anakuza sana mauaji na utekaji? Huko nyuma kulikuwa na watu waliowahi kutekwa , lakini haikuwahi kufikia kiwango cha huyu bibi!! Kwa kweli ni laana kubwa! Sijui nchi inaenda wapi!
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Tuna Rais mmoja tu. Usijizime data
 
Pia huyo mama anakuza sana mauaji na utekaji? Huko nyuma kulikuwa na watu waliowahi kutekwa , lakini haikuwahi kufikia kiwango cha huyu bibi!! Kwa kweli ni laana kubwa! Sijui nchi inaenda wapi!
Tatizo kutekwa kwa miaka ya sasa kunakuzwa kwa sababu ya hizi Iphone za kisasa, facebook na instagram. Unyama umefanyika kwa wingi sana miaka ya nyuma lakini hatukuufahamu hatukuwa na nyenzo za kimawasiliano zilizopo hivi sasa.
 
Loh!! Kwani wewe ni punguani?

Yule Ali Kibao, hakuwa na damu mwilini?

Ile ya Mdude iliyotapakaa barabarani, yalikuwa ni mataputapu unayokunywa?
Yule Sativa alipobomolewa kichwa chake kwa risasi, kilichokuwa kimemwagika chini, ulikuwa mk.ojo wako?
Wahusika wa huo unyama mpaka leo hawajulikana kama ni sehemu ya serikali au hao waliofanyiwa unyama wana uhusiano nao wa moja kwa moja.

Sio kila unyama unaweza kuuhusisha na mamlaka za kiserikali, mengine huwa ni matokeo ya mhanga kukorofishana na watuhumiwa wasiojulikana.
 
Huwezi kuukwepa umaskini, Nigeria ni taifa kubwa kiuchumi lakini wenye mali hawazidi asilimia 35.

California jimbo tajiri Marekani na linatoa mchango mkubwa kwenye uchumi mkuu lakini katika mitaa ya hollywood wamejaa maskini wanaoishi kwenye nyumba za maboksi.

Samia ameitekeleza miradi yote mikubwa aliyoachiwa na hayati JPM na ameweza kuanzisha miradi yake mwenyewe.

Maghorofa ya Kawe huku njia ya baharini yalikuwa magofu matupu wakati wa JPM hivi sasa Samia anayaendeleza na pale tanganyika packers kajenga maghorofa 10 pia anajenga sports complex yenye kuweza kuchukua watu 16,000 itakuwa ya pili kwa ukubwa barani afrika.
Mkuu soma kwa utulivu nilichokijibu, nimekuambia umaskini umekua zaidi kutpka 26% na sasa ni 40%. Haiwezekani ustawi ukakua alafu umaskini uongezeke kwa kiwango hicho
 
Mkuu soma kwa utulivu nilichokijibu, nimekuambia umaskini umekua zaidi kutpka 26% na sasa ni 40%. Haiwezekani ustawi ukakua alafu umaskini uongezeke kwa kiwango hicho
Wote tunategemea takwimu, hizo hizo zinaonyesha kazi aliyoifanya Samia nchi nzima kwa miaka minne.

Rais hana jukumu la kumpelekea mwananchi mkate wa kila siku, analo jukumu la kurahisisha kile anachofanya kiweze kumpatia faida.
 
Hizp kazi ndio zilipaswa kuakisi uhalisia wa maisha na kupunguza umaskini.

Sio kazi kumpelekea mkate, Ila kazi ni kukuza uchumi na kupunguza umaskini. Ukiona umaskini unaongezeka ujue kashindwa kazi. Pia uliposema ustawi unakua ulikua na maana gani ikiwa umaskini umeongezeka? Huo ustawi uliokua ni wa nn?
 
Nyerere hakuwahi kuwa mnafiki

Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?

Nyerere huwezi kumlinganisha na makuwadi wa mabeberu .
Nyerere huwezi kumlinganisha na wahuni .
Nyerere huwezi kumlinganisha na watu waliotengeneza mitandao ya kuua watu ,kununua wapiga kura , kuuza rasilimali za nchi kwa mabeberu na kutumia dini kama ngao kwa kutoa rushwa misikitini na makanisani.

Nyerere huwezi kumlinganisha na mawakala wa mashoga na wasagaji wasiojali maadili . Nyimbo za mikutano ya Wahuni inafanana kabisa na wahuni wote duniani bila kijali ni wahuni wa siasa au wahuni wa mitaani .
Hata upeo wa Nyerere huwezi kumlinganisha na yule mungu wa mafisadi anasewaza mali na madaraka tu .

Nyerere alikua anawakosoa na kuwapinga wakoloni na mabeberu katika zama ngumu sana katika teknlojia lakini alijulikana dunia nzima kwa msimamo wake.

Nyerere aliondoka madarakani Tanganyika ikiwa na umoja kila mahali.
Watanganyika katika ugumu wa kupambana na maadui wote walikua wamoja wenye hamasa na furaha kubwa tofauti na nchi ilipoanza kuvamiwa na Wazanzibari walioanza kuleta udini kwa makusudi ya kuwagawa watu eti kwa kiwadanganya watu kuwa walipigania uhuru lakini wanatengwa kwenye serikali wakati ukifika Zanzibar yenye waislam 99.9% hapakua na taasisi yoyote ya kiislam kama Hospitali kibwa,mashule ya maana , vyuo vya kati n.k . na hakuna hata moja iliyotaifishwa na kufanywa mali ya umma. Lakini Mali za kanisa huku Tanganyika zilitaifishwa na Rais mkristo na kufanywa mali za umma ili watu wote wapate Elimu na huduma bila kujali dini.
Wahuni walipovamia Tanganyika na kuanza kufanya silence assassination walitengeneza magenge ya kueneza propaganda za kidini na wao kutajirika sana kwa kupora mali za umma badala ya kujenga mifumo ya kitaasisi ili kuwainua watanzania wote .
Mfano Mwinyi amekua Rais wa Zanziba na Tanzania / Tanganyika . Hakujenga hata chuo kimoja cha umma au hata kiwanda au hata kuanzisha chama cha ushirika kule Zanzibar badala yake alijimikikisha viwanda na ardhi kubwa na kujitajirisha kwa kiwango cha juu sana na familia yake . Faida na mabilioni aliyokua anayapata yeye binafsi anazitumia tena kibinafsi katika dini kutafuta tena pepo kwa kujenga misikiti na kutoa misaada ya kidini na kupeleka watu maka kuhiji .
Yaani ni ubinafsi uliopitiliza . Anawaza kuishi maisha ya juu na ya kifahari duniani huku walionzunguka wakiwa maskini wa kutupwa katika mazingira duni na migogoro ya ardhi watu wanauana huku yeye sasa akiwaza kumhonga na Mungu ili akaendelete utajiri wake huko peponi tena tena kwa kutumia rasilimali za umma alizoumba Mwanyezi Mungu na siao biashara yake wala familia yake maana wliingia kwenye madaraka akiwa na ardhi ndogo akatoka akiwa na maelfu ya maekari ,aliingia akiwa hana mabilioni kwenye maakaunti akatoka akiwa bilionea lakni mbaya zaidi akawagawa watu kwa misingi ya kidini kwa kuruhusu propaganda chafu za kidini katika kutafuta madaraka .
Leo hii kila mtu anatafuta uongozi ili kujitajirisha na sio kujenga mifumo ya kisiasa ,kiuchumi na kijamii.

Leo hii Waislam waliokua wanahubiri Haki sawa kwa wote wamegeuka na kulaani kwa dua wale wanaolilia ndugu na marafiki zao waliodhulumiwa,kupotea na hata kuuawa huku wengine wakifunguliwa kesi za uongo kisa ni chuki za Wazanzibari kuingiza propaganda na kuwagawa watu ili tu wapate madaraka na kupora mali za Watanganyika wapole ambao wanabaki wakisema tumwachie Mungu wakati hata kwenye mambo ya kikatiba na kisheria wanadhulumiwa .

Kuna watu wanafikiri kuwa kuwakosoa watwala ni jambo rahisi .Na kuanza kutukana na kukejeli . Nyerere alijua wazi kuwa kuna makosa na anayeyafanya ana nguvu kubwa sana lakni aliamua kujitoa mhanga na alichukiwa sana na wahuni ambao walikua wanawaza kupora mali za umma tu .
Nyerere alikosoa mpaka kipindi cha mkapa .Kundi la wahuni lilijua wazi kuwa Nyerere ni kikwazo kwao kuelekeaa kwenye juhudi za kumilki chama na seeikali .
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
We hazikutoshi, kwani kuna anayepinga au kukataza ushauri, tatizo linakuja ni aina gani ya Ushauri unaotolewa. We unapotosha ! USHAURI SIKU ZOTE UPO ILA USHAURI MBAYA NDO UNAOPINGWA, WA KUANGAMIZA NA KUMALIZA RASILIMALI ZA TAIFA LETU ! MWINYI ALIPATA BAHATI YA KUONGOZA WAKATI KUNA MSTAAFU MAKINI WA KUMSHAURI. LEO HII HAKUNA MTU KAMA HUYO. TUMEBAKIA NA MSTAAFU ASIYEKUWA NA MAPENZI NA UZALENDO KWA NCHI YETU. ETI ANASUBLIA LABDA MAMBO YAHARIBIKE SANA, WAKATI TAYARI YAMEISHA HARIBIKA BEYOND REPAIRS !
 
Nye
Ulikuwepo wakati huo? JK ameiba nini au umemeza upuuzi wa humu jukwaani, tumia akili acheni chuki na kuishi kwa hisia.
We Kijana unatetea kila Kitu kana kwamba wewe una ufahamu kuzidi hao wanaopinga huo Upuuzi. Ndilo tatizo la kusoma kwa kukariri shuleni, uwezo wa kutafakari na kuchambua Hoja huna, unatumia misuri badala ya ubongo. Kweli Taifa linaangamizwa na watu waliokosa Maarifa na Uzalendo !
 
We hazikutoshi, kwani kuna anayepinga au kukataza ushauri, tatizo linakuja ni aina gani ya Ushauri unaotolewa. We unapotosha ! USHAURI SIKU ZOTE UPO ILA USHAURI MBAYA NDO UNAOPINGWA, WA KUANGAMIZA NA KUMALIZA RASILIMALI ZA TAIFA LETU ! MWINYI ALIPATA BAHATI YA KUONGOZA WAKATI KUNA MSTAAFU MAKINI WA KUMSHAURI. LEO HII HAKUNA MTU KAMA HUYO. TUMEBAKIA NA MSTAAFU ASIYEKUWA NA MAPENZI NA UZALENDO KWA NCHI YETU. ETI ANASUBLIA LABDA MAMBO YAHARIBIKE SANA, WAKATI TAYARI YAMEISHA HARIBIKA BEYOND REPAIRS !
Tehetehe
 
Rostam hakuhamia Kenya.Amewekeza Kenya kwenye Taifa Gas.Wacha kusikiliza vikao vya kahawa.
Hoja ni je RA ni Msafi na anafanya Biashara zilizonyooka? Sote tunamjua na tunawajua wafanya Biashara wengine. Why yeye ndiye anyooshewe Kidole na Watanzania wenye unchungu na Nchi Yao? We kijana unatetea kwa kulipwa hizo posho za kununulia Bundles unasaliti Taifa lako, Taifa lina hasara ya kuwa na Vijana wa aina Yako. Sina uhakika kama mwaka 1978/79 tungekuwa na Vijana wa aina yenu Taifa hili lingekulikuwepo mbele ya vitendo vya yule Field Marshal wa Mchongo. Sasa hivi angekuwa alishatua Dar kama Makao yake. Mungu saidia alikuta Taifa hili wakati huo lina Viongozi na Vijana Shupavu na Wazalendo, Vijana walikuwa wanajitolea na kujiandikisha kwa Hiari kutoka Kila kona ya Nchi, wakiwa peku hata wengine Viatu hawana lakini wanajihisi wana Kitu cha Kuifanyia Nchi yao. Taifa lilikuwa ni Moja na hapakuwa na Matabaka, ndio maana kila mmoja alihisi ana wajibu wa kulitetea Taifa lake hata ikibi kwa kumwaga Damu yake Mstari wa Mbele. Vijana wa sasa mko busy kwenye Key Boards kutetea mafisadi . La Mgambo Likilia , sidhani kama Tutakuwa na Vijana tuliowashuhudia Kipindi hicho wakati Taifa linakabadiliwa na Changamoto. Tofauti na wa Kizazi cha sasa Uzalendo Hakuna, na Mungu Apishe Mbali tusije kukutana na Changamoto ya aina hiyo kwenye Kipindi kama cha sasa. Vina Uzalendo Hakuna, mnabakia kushabikia akina RA na Genge lake wakati wana angamiza Taifa Letu. Gen Mabeyo wakati wa Kutoa Hotuba Yake kwenye Mazishi ya Mh JPM (RIP), alielezea kuwa " Taifa Lisilokuwa na Uchumi Imara, Haliwezi kuwa Na Vyombo Vya Ulinzi Imara". Sasa tunaachia uchumi wetu unaangamizwa na hao Mafisadi, tutegemee nini mbeleni? Nyie endelea kushadadia hao akina RA na gege lake.
 
Back
Top Bottom