Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Mkuu una one dimensionsl thinking, muelekeo wa kidini, kwa dini uipendayo.
Kwa hali hiyo huwezi kuwa na mchango rational.
Hatufanyi tena wajinga msiishi kwa mazowea kufanya Iman nyingine nidaraja b mnatoa shutuma kwa rais tujue mnaipenda nchi kumbe mpo kidini zaidi
Na swala hilo hilo akifanya ndugu yenu anapo kuwa kiongozi mpokimya utasikia unamcheki mwamba?komeni kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Na hakika wewe unashindwa kichwani .awam zote kama zitakuwa zinafanya kazi kwa kupita namna moja hakuna haja ya kubadili uongozi
Ndiomaana sasa ufanisi umebadilika kuna watu walikuwa hawalipi wametengeneza mtandao umekatwa
Hakuna watu wahovyo kama viongozi wa kidini walikuwa ni mawakala wakipitisha mizigo yawatu bure
Kuna mambo ya msingi , kama wenzako waliona kuna manufaa ya kuendelea kuweka Bandari na makampuni mengine ya Kimkakati chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Serikali kwa kuwa yanugusa masuala mapana ya Kimkakati na pia ni kwa ajili ya Kiusalama, wewe unawezaje kuja kufanya kinyume chake? Hatubadili Uongozi kwa ajili ya kubadilisha masuala ya Msingi yenye Manufaa ya Kitaifa, otherwise leo hii hao waliotangulia wangekuwa wameuza hizo assets za kimkakati Yeye asingezikuta. Hata kule Nchi za wenzetu zilizoendelea kuna Mashirika ya Kimkakati huwa hayabinafsishwi. Usitetee upuuzi bila kuwa na ujuzi wa mambo. Kuna siku na wewe utakuja kuuzwa Utumwani kwa wajomba zako hao wa Kiarabu !

Methods of slavery​

With the backing of the Sultan of Oman, Tippu Tip’s operations involved the capture, transport, and sale of enslaved Africans. His expeditions into the interior often resulted in the capture of large numbers of people, who were then forced to march to the coast under brutal conditions. Many did not survive the journey due to the harsh treatment, disease, and exhaustion.

Impact on local communities​

The impact of Tippu Tip’s slave trading activities on local communities was devastating. Entire villages were raided, and countless individuals were torn from their families and homes. The social and economic fabric of the affected regions was severely disrupted, leading to long-lasting consequences that are still felt today.
 
Umeandika gazeti zima lakini ujumbe ni nusu tu. Tafuta uelewa wa mengi yanayofanyika usikimbilie mkumbo wa mawazo ya jumla yanayotokana na kusoma magazeti na vijarida vya wanaharakati.
Angalau umekiri Kuona Ujumbe Ndani Yake. Basi hata kama ni Nusu, ucgukue huo ukusaidie kupanua ufahamu wako wa mambo ya Msingi yenye maslahi kwa Nchi Yako. Usijizime Data zote ukawa kama Simu mbovu za Wachina !
 
Kuna mambo ya msingi , kama wenzako waliona kuna manufaa ya kuendelea kuweka Bandari na makampuni mengine ya Kimkakati chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Serikali kwa kuwa yanugusa masuala mapana ya Kimkakati na pia ni kwa ajili ya Kiusalama, wewe unawezaje kuja kufanya kinyume chake? Hatubadili Uongozi kwa ajili ya kubadilisha masuala ya Msingi yenye Manufaa ya Kitaifa, otherwise leo hii hao waliotangulia wangekuwa wameuza hizo assets za kimkakati Yeye asingezikuta. Hata kule Nchi za wenzetu zilizoendelea kuna Mashirika ya Kimkakati huwa hayabinafsishwi. Usitetee upuuzi bila kuwa na ujuzi wa mambo. Kuna siku na wewe utakuja kuuzwa Utumwani kwa wajomba zako hao wa Kiarabu !
Kumbe shida ni uarabu hiv umewahi kujiuliza hao waarabu mkapa alifanya hivyo tunaambiwa hadi leo alinyanyua uchumi .
Bandari ilikuwa inaingiza elfu 10 leo laki 1 unasema bora elfu sasa hapo nani mpuuzi kama sio wewe
Heri ya kunyimwa Nguo kuliko kunyimwa Elimu.Dogo Sixpax, Labda kama unaongelea Elimu ya Madrassa uliyo nayo wewe. Heri wazazi wako wangekunyima hata hayo mafundisho lakini wakakupeleka Shule. Mwalimu aliwahi sema kuwa Heri ya Uchi wa mwili kuliko Uchi wa Ubongo ! Ubongo wako minyama myeupe iliyopungukiwa Yellow Matters and eneough Wrinkles which are the determinants of an individuals LEVEL of IQ
Wanyime elimu ndipo utaweza kuwagawa ndio utawatawala.
Sasa kwa wewe wa imani ile unapambana kuhakikisha samia anakuwa mbaya kwasababu tu ya imani yake wakati miaka 4 amepiga sana kazi katika miradi ya kimkakati
Pia mnapanbana kuhakikisha lengo lakatiba mpya lisitimie kwasababu yasasa inainufaisha zaidi imani yenu
 
H
Kuna mambo ya msingi , kama wenzako waliona kuna manufaa ya kuendelea kuweka Bandari na makampuni mengine ya Kimkakati chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Serikali kwa kuwa yanugusa masuala mapana ya Kimkakati na pia ni kwa ajili ya Kiusalama, wewe unawezaje kuja kufanya kinyume chake? Hatubadili Uongozi kwa ajili ya kubadilisha masuala ya Msingi yenye Manufaa ya Kitaifa, otherwise leo hii hao waliotangulia wangekuwa wameuza hizo assets za kimkakati Yeye asingezikuta. Hata kule Nchi za wenzetu zilizoendelea kuna Mashirika ya Kimkakati huwa hayabinafsishwi. Usitetee upuuzi bila kuwa na ujuzi wa mambo. Kuna siku na wewe utakuja kuuzwa Utumwani kwa wajomba zako hao wa Kiarabu !

Methods of slavery​

With the backing of the Sultan of Oman, Tippu Tip’s operations involved the capture, transport, and sale of enslaved Africans. His expeditions into the interior often resulted in the capture of large numbers of people, who were then forced to march to the coast under brutal conditions. Many did not survive the journey due to the harsh treatment, disease, and exhaustion.

Impact on local communities​

The impact of Tippu Tip’s slave trading activities on local communities was devastating. Entire villages were raided, and countless individuals were torn from their families and homes. The social and economic fabric of the affected regions was severely disrupted, leading to long-lasting consequences that are still felt today.
Akina chochote zaidi ya Udini haya unaongea uneathiriwa ubongo na imani yako
Kila kitu kimefanyiwa uakiki nakiko sawa kama hunalakusema acha kuja mambo yahisia
 
Hatufanyi tena wajinga msiishi kwa mazowea kufanya Iman nyingine nidaraja b mnatoa shutuma kwa rais tujue mnaipenda nchi kumbe mpo kidini zaidi
Na swala hilo hilo akifanya ndugu yenu anapo kuwa kiongozi mpokimya utasikia unamcheki mwamba?komeni kabisa.
Hizo Hisia tu. Kwa hiyo tumpende Kingozi kisa tu eti atanatokwa kwenye Imani yetu? Hapana, bila kujali anatoka upande upi, akifanya Vema tutampongeza, akifanya Vibaya tutasema. Mungu anatuasa kwamba" MSIPOWASEMEA, MAWE YATASEMA ! Hatutasubilia Mawe ndiye yawasemee !
 
Kiongozi bora kwa wakristo na wachache waimani yetu aliowatumia kwa maslahi ya imani ileee huu ni ukweli mchungu.ndio sababu alishindwa kuumaliza ubaguzi
Kwa Hiyo ni Kiongozi Yupi basi ameumaliza au kuukuza UBAGUZI kwa Misingi ya Imani ! Najaribu kudadisi tu !
 
Au ni wapi Nyerere alishauri kugawa Bandari zetu na Rasilimali nyingine za Taifa kwa Wajomba wenu wa Oman na Qatar ? Nyerere (RIP)alikemea mara zote pale alipoona Taifa linapelekwa pasipotakiwa, na alifanikwa Kuliokoa.
Countries have money wants to invest,oman is investing
Even in Burkina Oman is looking for those countries looking for investors to develope agriculture mining and other sectors,

View: https://x.com/joe__bassey/status/1960958313044079076?s=61&t=dtno3C9A3lDS2iwatMBZ7g
 
Sio kweli .
JPM alijenga sana nchi kitaasisi .
Na kimiundo mbinu .
Hivi unaona magari yanayonunuliwa huko Halmashauri na idara Nyingine yalivyo ya kifahari na ya bei kubwa . Hilo nalo kweli ni jambo la kutumia darubini kuona kuwa linamaliza fedha za maendeleo .
Masoko yalijengwa vizuri ili kukusanya Fedha , Madaraja na barabara za lami ili kuonoka na tenda za kila siku kupiga pesa za kujenga miundo mbinu duni .

Umeme ulishuka bei mpaka elfu 27 na maji elfu 24 tu .
Na uchumi wa nchi ukawa imara .
Na watu walikua wanafanya kazi sana kwa akili na maarifa sio ujanja ujanja na kupeana mapesa ya kugawa kwenye nyumba za ibada na wasanii na machawa .

Hatua zilikua zinachukuliwa .
Hata nchi zilizoendelea sana labda uarabuni ambapo wana mifumo ya kifalme lakni hakuna watumishi wa umma wanaotumia fedha za umma kufanya starehe wakati huduma za jamii ziko chini sana.

Watu wanateseka na matibabu ya figo huku Tanganyika ambako kuna rasilimali nyingi sana lakini binadam hao hao kule Zanzibar wanapata huduma hiyo bure .
Wakati kodi ikiwa juu huku Tanganyika kule Zanzibar iko chini. Lakni cha ajabu asilimia kubwa ya Wazanzibari wapo kwenye ajira ama ya serikali yao au ya jamhuri pamoja na idadi ndogo ya watu . Yaani ukigawa ukubwa wa kanchi ka Zanzibar na idadi ya viongizi walionao ni kama vile kila kijiji kina mbunge na mwakilshi na diwani na sheha. Wajati huo bado mawaziri wengi katika serikali yao wenyewe na wakuu wa mikoa na wilya na viongozi wengi lakni pia idara zote kule Zanziba hawaajiri Watanganyika.
Sasa kwa hali hiyo ni lazimawaje kupora rasilimali za Tanganika ili kujinufaisha kwa sababu Watangayika wengi wanafanya shughuli zao binafsi hawana hanari na siasa na madaraka
Watanganyika na Wazenji wanaunda watanzania na tutaendelea kuwa hivyo miaka na miaka.

Narudia tena kusema kwamba Samia kawajibu kwa vitendo wote waliodhani ofisi itamshinda, kakidhi viwango.

Kodi inakusanywa ya kutosha na hata siku moja shida haziwezi kumalizika, magari ya bei mbaya yananunuliwa lakini TRA mapato yanazidi kiwango kinachowekwa cha makusanyo.

Chuki dhidi ya wazenji haiwezi kutupeleka popote, Nyerere alisema tukimaliza kuwachukia wazenji tutahamia kwenye kuyachukia makabila ya huku bara, yale maneno ya hekima sana.
 
Hoja ya kitoto sana.Leta ushahidi au just keep quiet.Huna hoja Mo na Bakhresa wanawekeza kwenye nini?Mpaka ilete malumbano.Kwa akili ulizonazo Front umehadithiwa.
Dogo sisi wakati tuko Mstari wa Mbele Kutetea Taifa letu kwa ushujaa na uzalendo uliotukuka, wewe na hao mafisadi unaowatetea walikuwa wako majumbani mwao wanajificha Chini ya Uvungu wa Vitanda Vyao pale Mabomu ya 120 yalipokuwa yanavurumishwa upande wa Nchi yetu na Vipepeo vya Nduli vya MIG 18 na 23 alivyokuwa akirusha kwa Msaada wa Huyo Mzalimu Gadaff wenu ( Mungu Awalaani na nyie nyote mnayempamba huyo Gaidi) , vilipkuwa vinatanda juu ya Anga la Nchi yetu pendwa ya Tanzania. Sikuona Mstari wa Mbele watoto wa akina Rostam wala huyo Seth wala huyo anayewakingia Kifua wala wana Siasa walafi hao unaowatetea. Kule Mstari wa Mbele walikuwepo watoto wa Wakulima na Wafugaji tu, wezi wote hao walikuwa wamejificha majumbani mwao uvunguni. So acha watoto wa wakulima na wafanyakazi wa Nchii wenye uchungu na Nchi yao ambayo tayari walishaimwagia Damu kwa ajili ya kuitetea, waendelee kuitetea na kuipigania. Vita ya sasa siyo ya kumuondoa Nduli bali kuondoa uvamizi wa hao majizi na hao waarabuna Makuhadi wao, wanaokuja kupitia uwezekazi wa kifisadi. TUTASHINDA !
 
Samia anaifanya sana kazi, ukiona hawa wengi wanaompinga sababu za kisiasa zipo nyuma ya hoja zao. Wengi walitanua sana awamu ya tano huko kwenye halmashauri na mawizarani amekuja Samia wameshindwa kuuweka sawa ule mrija wao wa upigaji.
Steven Joel una matatizo ila tutakusamehe angalau , kwa kuwa kwenye andiko lako hapo juu unakiri kuwa wengi wanampinga, si uone kwamba hapo kuna Tatizo? Nyie wachache mnaomkubali, basi mkubaliane na Wengi, maana Wengi Wape ndiyo Demokrasia inatutaka. Angalau umewafariji wengi kwa kukiri kwamba kweli Wengi wanapinga hayo matendo yake hasa kwenye ugawaji na usimamizi wa Rasilimali za Taifa, na sasa hata Demokrasia inauawa mbele ya macho yake, na wewe unataka kuungana na walio wachache mnaomuunga Mkono kwa kusambaza uongo kutaka kuzima ukweli wa walio wengi, ambao umekiri kuwa wanapingana naye. Wengi Wape, walijisemea wahenga wetu wa Kale !.
 
Huna lolote njaa tu inakusumbua.Baba yako angeacha ulevi usingekuwa bitter na uchungu wa kulalamika tu.Wisdom is chasing you but you are always faster. Dundee United.
 
H

Akina chochote zaidi ya Udini haya unaongea uneathiriwa ubongo na imani yako
Kila kitu kimefanyiwa uakiki nakiko sawa kama hunalakusema acha kuja mambo yahisia
Watanganyika na Wazenji wanaunda watanzania na tutaendelea kuwa hivyo miaka na miaka.

Narudia tena kusema kwamba Samia kawajibu kwa vitendo wote waliodhani ofisi itamshinda, kakidhi viwango.

Kodi inakusanywa ya kutosha na hata siku moja shida haziwezi kumalizika, magari ya bei mbaya yananunuliwa lakini TRA mapato yanazidi kiwango kinachowekwa cha makusanyo.

Chuki dhidi ya wazenji haiwezi kutupeleka popote, Nyerere alisema tukimaliza kuwachukia wazenji tutahamia kwenye kuyachukia makabila ya huku bara, yale maneno ya hekima sana.
Huna lolote njaa tu inakusumbua.Baba yako angeacha ulevi usingekuwa bitter na uchungu wa kulalamika tu.Wisdom is chasing you but you are always faster. Dundee United.
Nikinukuru Kauli ya Kejeli ya Morinho kwa Wenger, wewe ni sawa na Mpiga Chabo ambaye anachungulia wenzake wakila Vitu na yeye anajifurahisha nje. Wewe wenzako wanakwiba rasilimali za Taifa wewe unashadadia huku Nje. Pole sana ! Tatizo ni waZazi wako waliokunyima Elimu ukabakia kuwa Boy kwa Waarabu majumbani ukiwaoshea vyombo .
 
Samia anaifanya sana kazi, ukiona hawa wengi wanaompinga sababu za kisiasa zipo nyuma ya hoja zao. Wengi walitanua sana awamu ya tano huko kwenye halmashauri na mawizarani amekuja Samia wameshindwa kuuweka sawa ule mrija wao wa upigaji.
Nimependa hii kauli" WENGI WANAOMPINGA" !!!!! It tells a Lot !
 
Hapana cha Uzenji wala Utanganyika Hapa. Tusifanye makosa tukakimbilia kujificha nyuma ya ukabila, udini au uzenji na utanganyika, Kosa halihusiani na yote hayo. Tuache kupotoshana ili kuzima na kupotosha ukweli wa na uhalisia wa kinachosemwa. Let address the matters on their merits .
Watanganyika na Wazenji wanaunda watanzania na tutaendelea kuwa hivyo miaka na miaka.

Narudia tena kusema kwamba Samia kawajibu kwa vitendo wote waliodhani ofisi itamshinda, kakidhi viwango.

Kodi inakusanywa ya kutosha na hata siku moja shida haziwezi kumalizika, magari ya bei mbaya yananunuliwa lakini TRA mapato yanazidi kiwango kinachowekwa cha makusanyo.

Chuki dhidi ya wazenji haiwezi kutupeleka popote, Nyerere alisema tukimaliza kuwachukia wazenji tutahamia kwenye kuyachukia makabila ya huku bara, yale maneno ya hekima sana.
 
Nikinukuru Kauli ya Kejeli ya Morinho kwa Wenger, wewe ni sawa na Mpiga Chabo ambaye anachungulia wenzake wakila Vitu na yeye anajifurahisha nje. Wewe wenzako wanakwiba rasilimali za Taifa wewe unashadadia huku Nje. Pole sana ! Tatizo ni waZazi wako waliokunyima Elimu ukabakia kuwa Boy kwa Waarabu majumbani ukiwaoshea vyombo .
Fanya kazi yako halali usiwaze kuibiwa kwa kuzana naibiwa utachelewa sana
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kwa Hiyo ni Kiongozi Yupi basi ameumaliza au kuukuza UBAGUZI kwa Misingi ya Imani ! Najaribu kudadisi tu !
Mwalimu katika tunu kubwa aliowaachia nihiyo
Lakini iliugundue inahitaji akili sana utafanya uchunguzi kwalawama anazopewa kiongozi kama samia naukilinganisha nahayohayo aliofanya mtangulizi wake utaona nihatari sana lakini kimya kabisa
 
Back
Top Bottom