Nyerere huwezi kumlinganisha na makuwadi wa mabeberu .
Nyerere huwezi kumlinganisha na wahuni .
Nyerere huwezi kumlinganisha na watu waliotengeneza mitandao ya kuua watu ,kununua wapiga kura , kuuza rasilimali za nchi kwa mabeberu na kutumia dini kama ngao kwa kutoa rushwa misikitini na makanisani.
Nyerere huwezi kumlinganisha na mawakala wa mashoga na wasagaji wasiojali maadili . Nyimbo za mikutano ya Wahuni inafanana kabisa na wahuni wote duniani bila kijali ni wahuni wa siasa au wahuni wa mitaani .
Hata upeo wa Nyerere huwezi kumlinganisha na yule mungu wa mafisadi anasewaza mali na madaraka tu .
Nyerere alikua anawakosoa na kuwapinga wakoloni na mabeberu katika zama ngumu sana katika teknlojia lakini alijulikana dunia nzima kwa msimamo wake.
Nyerere aliondoka madarakani Tanganyika ikiwa na umoja kila mahali.
Watanganyika katika ugumu wa kupambana na maadui wote walikua wamoja wenye hamasa na furaha kubwa tofauti na nchi ilipoanza kuvamiwa na Wazanzibari walioanza kuleta udini kwa makusudi ya kuwagawa watu eti kwa kiwadanganya watu kuwa walipigania uhuru lakini wanatengwa kwenye serikali wakati ukifika Zanzibar yenye waislam 99.9% hapakua na taasisi yoyote ya kiislam kama Hospitali kibwa,mashule ya maana , vyuo vya kati n.k . na hakuna hata moja iliyotaifishwa na kufanywa mali ya umma. Lakini Mali za kanisa huku Tanganyika zilitaifishwa na Rais mkristo na kufanywa mali za umma ili watu wote wapate Elimu na huduma bila kujali dini.
Wahuni walipovamia Tanganyika na kuanza kufanya silence assassination walitengeneza magenge ya kueneza propaganda za kidini na wao kutajirika sana kwa kupora mali za umma badala ya kujenga mifumo ya kitaasisi ili kuwainua watanzania wote .
Mfano Mwinyi amekua Rais wa Zanziba na Tanzania / Tanganyika . Hakujenga hata chuo kimoja cha umma au hata kiwanda au hata kuanzisha chama cha ushirika kule Zanzibar badala yake alijimikikisha viwanda na ardhi kubwa na kujitajirisha kwa kiwango cha juu sana na familia yake . Faida na mabilioni aliyokua anayapata yeye binafsi anazitumia tena kibinafsi katika dini kutafuta tena pepo kwa kujenga misikiti na kutoa misaada ya kidini na kupeleka watu maka kuhiji .
Yaani ni ubinafsi uliopitiliza . Anawaza kuishi maisha ya juu na ya kifahari duniani huku walionzunguka wakiwa maskini wa kutupwa katika mazingira duni na migogoro ya ardhi watu wanauana huku yeye sasa akiwaza kumhonga na Mungu ili akaendelete utajiri wake huko peponi tena tena kwa kutumia rasilimali za umma alizoumba Mwanyezi Mungu na siao biashara yake wala familia yake maana wliingia kwenye madaraka akiwa na ardhi ndogo akatoka akiwa na maelfu ya maekari ,aliingia akiwa hana mabilioni kwenye maakaunti akatoka akiwa bilionea lakni mbaya zaidi akawagawa watu kwa misingi ya kidini kwa kuruhusu propaganda chafu za kidini katika kutafuta madaraka .
Leo hii kila mtu anatafuta uongozi ili kujitajirisha na sio kujenga mifumo ya kisiasa ,kiuchumi na kijamii.
Leo hii Waislam waliokua wanahubiri Haki sawa kwa wote wamegeuka na kulaani kwa dua wale wanaolilia ndugu na marafiki zao waliodhulumiwa,kupotea na hata kuuawa huku wengine wakifunguliwa kesi za uongo kisa ni chuki za Wazanzibari kuingiza propaganda na kuwagawa watu ili tu wapate madaraka na kupora mali za Watanganyika wapole ambao wanabaki wakisema tumwachie Mungu wakati hata kwenye mambo ya kikatiba na kisheria wanadhulumiwa .
Kuna watu wanafikiri kuwa kuwakosoa watwala ni jambo rahisi .Na kuanza kutukana na kukejeli . Nyerere alijua wazi kuwa kuna makosa na anayeyafanya ana nguvu kubwa sana lakni aliamua kujitoa mhanga na alichukiwa sana na wahuni ambao walikua wanawaza kupora mali za umma tu .
Nyerere alikosoa mpaka kipindi cha mkapa .Kundi la wahuni lilijua wazi kuwa Nyerere ni kikwazo kwao kuelekeaa kwenye juhudi za kumilki chama na seeikali .