Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Hizo Hisia tu. Kwa hiyo tumpende Kingozi kisa tu eti atanatokwa kwenye Imani yetu? Hapana, bila kujali anatoka upande upi, akifanya Vema tutampongeza, akifanya Vibaya tutasema. Mungu anatuasa kwamba" MSIPOWASEMEA, MAWE YATASEMA ! Hatutasubilia Mawe ndiye yawasemee !
Safi ilitakiwa iwekwqwote
 
Hatufanyi tena wajinga msiishi kwa mazowea kufanya Iman nyingine nidaraja b mnatoa shutuma kwa rais tujue mnaipenda nchi kumbe mpo kidini zaidi
Na swala hilo hilo akifanya ndugu yenu anapo kuwa kiongozi mpokimya utasikia unamcheki mwamba?komeni kabisa.
Magufuli alipingwa kisawasawa kwa udikteta wake. Fuatilia vizuri.
Na wala hakuchaguliwabkwa dini yake. Actually, wengi tulimpinga kwa tabiavyake.
 
Huyu hatoi ushauri akawaachia wenye madaraka wafanye yeye anatenda. Ushawahi msikia akiitisha press conference kushauri , yeye utamshtukia kwenye action tu. Warioba tunasikia taarifa zake kupitia waandishi wa habari huyu unapomuona au kumsia unakuta tayari ameshika jembe analima, hiyo ndio tofauti kubwa na wenzie. Atoe ushauri akiwa amekaa kwake anakunywa kahawa na sisi tusikie huo ushauri, mwenye nchi atajua cha kufanya kupitia ushauri wake ndivyo akina mwinyi walivyo ishi na akina Nyerere. Mbona yeye alivyokuwa madarakani hatukuwaona wakina mkapa na mwinyi wako front!
Kwamba ukimuona tu tayari kashika Jembe analima 🤣
 
******* yu hao
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Tofauti na huyu Nyerere hakuwa Chawa wa mtu, alitumia haki yake ya Kikatiba na uzoefu wake wa kiuongozi kuikosoa na kuishauri serikali kama anavyofanya Warioba na Butiku na husikii watu wanawalalamikia.
 
Jadili mada mezani
 
CCM DAIMA OCTOBER 28 TUNAENDA TIKI mapemaaa !!!

maskofu wataendelea kula Matembele mpaka 2030 !!

kwasasa tumewazoea na tumeziba masikio waongee waimbe kwaya wachoke !!! wananchi tumekubaliana maskofu wale tembele kwamiaka mengine 5

waongee waruke Samasoti lkn mwendo wa Tembelee mpaka 2030.
 
1000086268.png
 
Mwl.Julius K Nyerere na Mzee Warioba wao mrengwa wao upo ktk kushauri yale yenye tija kwa taifa na kukosoa yale ambayo hayana tija na afya kwa taifa letu.
Je,mstaafu JK ni chapisho lipi ambalo ameona mambo ktk taifa yanaenda ndivyo sivyo na akasimama mbele ya umma na kukemea kwa ukali ya kudhiirisha kuwa ameshashiriki kushauri na kuonya wakiwa ndani lkn mambo bado yanaendelea?

Swala la Udini mnaliibua nyinyi pale linapojadiliwa jambo la mustakabali wa taifa ninyi mnaingiza udini ili kuvuruga uhalisia wa mienendo ya matukio ili mjadala uwe ni udini.

NB: Wanao ihubiri amani ndio wanaopaswa kushupalia haki itendeke,maana haki ndio msingi mama wa amani na upendo baina yetu na ndio njia kuu ya namna ya kuendeleza taifa kwa wote na sio kwa wachache.
Udini unaingia kwa sbbu matamshi ya kumtoa jk ktk ushauri yametolewa na Maaskofu
Na kama mtamsikiliza vzuri yule Askofu anazungumzia uhalali wa JK kutoa ushauri. Na mihemko yetu JF tayari tumeishatoka ktk Mada, the issue here "is he eligible to advise/consult"
Ni ukhanithi wa kiakili kufikiri kwamba kiongozi hana uhalali wa kumshauri kiongozi mwingine hasa ukitilia maanani kuna waliopokezana wote hawapo duniani. ??
Ukiangalia non verbal communication/tone ya Askofu ni dhahiri alikuwa ameongozwa na hasira
 
Back
Top Bottom