MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Serikali ya nchi hii ina mkono mrefu hakuna shehe wala askofu anaeweza kutoa maelekezo yeyote kwa serikali. Serikali inasikiliza na kuheshimu maoni ya viongozi wa dini lakini kamwe hakuna dini itapanda kichwani mwa serikali hiyo msahau. Never
Hawana ubavu huo kwa sasa, bandari ndiyo ianwaponyoka hiyo.Samia hauwezai muziki wa maaskofu. Hao ni watu ambao wakiitisha maandamano, watu wanaitikia kweli. Kwa hiyo awe makini!
Tafadhali usiusemee Uislam kama huuelewi. Tuulize Waislam tukufahamishe.
kauli ya mufti wa bakwata au Sheikh yeyote yule, ambayo ipo nje ya Uislam haina nguvu kabisa kwa Waislam, hatutaikubali.
kauli ya yeyote mradi isikiuke misingi ya imani za watu inakubalika Kiislam. hata kauli yako ikiwa kwenye haki, uwe usiwe Muislam tutaikubali, ikiwa nje ya haki hatutaikubali.
waaambie waitishe arafu wawe mbele tuoneSamia hauwezai muziki wa maaskofu. Hao ni watu ambao wakiitisha maandamano, watu wanaitikia kweli. Kwa hiyo awe makini!
Wanangoja nini CCM imetawala nchi hii miaka 62 mpaka leo . Acha porojo kijanaSahihi kabisa
Wakiamua kueneza injili ya kuiondoa ccm madarakani ,sekunde 60 nyingi
Hao hao unaowajua wewe. Nimekwambia serikali inaheshimu dini zote hata hao viongozi wakina gwajima wewe unaowadharau lakini serikali haipigi goti kwa shehe wala askofu usipoteze muda wako kujidanganya. Ukizingua utazinguliwa tuSerikali ya CCM haiwezi kufanya kazi bila viongozi wa dini. Hutaki unaacha......
Ninavyosema mashehe simaanishi wakina Kipozeo, wala maaskofu simaanishi wakina Gwajima.
Hawa ni wale watanzania ambao wanapenda kujidanganya bila kufahamu hii nchi imetokea wapi. Tanzania aheri ucheze na makabila siyo dini aisee.Sahihi kabisa
Wakiamua kueneza injili ya kuiondoa ccm madarakani ,sekunde 60 nyingi
🐖🐖🐖🐖Kuna ubaya viongozi wa dini wakitoa maoni yao au kwa vile ni mkristu ?
Nyie mnae sheikh mla nguruwe mwaipopo
Huyo Dr.nshala kuitwa ofisi ya upelelezi ni muhimu kwanza ye mwenyewe kashalalamika kuwa ametishiwa anataka kuuwawa lazima aitwe atoe maelezo serikali ijuwe inamsaidia vipi. Huyo ameongea mambo mengi kwa wakati mmoja ni mteja mzuri sana kwa DCI huyo.Aaah, wapi.
Hujaona Dr. Nshala kaitwa kuhojiwa na Polisi kwa kujadili mkataba wa bandari, baada ya agizo la waziri.
Unafikiri waziri anaweza kuagiza polisi wasilaze damu bila ya kupata nod ya rais?
Hao hao unaowajua wewe. Nimekwambia serikali inaheshimu dini zote hata hao viongozi wakina gwajima wewe unaowadharau lakini serikali haipigi goti kwa shehe wala askofu usipoteze muda wako kujidanganya. Ukizingua utazinguliwa tu
Na wale vijana walioshikwa baada ya kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuandamana je?Huyo Dr.nshala kuitwa ofisi ya upelelezi ni muhimu kwanza ye mwenyewe kashalalamika kuwa ametishiwa anataka kuuwawa lazima aitwe atoe maelezo serikali ijuwe inamsaidia vipi. Huyo ameongea mambo mengi kwa wakati mmoja ni mteja mzuri sana kwa DCI huyo.
Tafadhali usiusemee Uislam kama huuelewi. Tuulize Waislam tukufahamishe.
kauli ya mufti wa bakwata au Sheikh yeyote yule, ambayo ipo nje ya Uislam haina nguvu kabisa kwa Waislam, hatutaikubali.
kauli ya yeyote mradi isikiuke misingi ya imani za watu inakubalika Kiislam. hata kauli yako ikiwa kwenye haki, uwe usiwe Muislam tutaikubali, ikiwa nje ya haki hatutaikubali.
Hawa wapiga kelele wa JF hawayajui haya.Nchini Tanzania, taasisi za kidini zinaaminika mno na raia kuliko vyombo vya dola...........
Kauli za mufti wa BAKWATA au Kadinali wa KATOLIKI zina nguvu mno kuliko hata amri ya mahakama kuu ya Tanzania. Kiufupi ni kwamba hakuna mtawala atakayefanikiwa kuitawala vizuri Tanzania bila kuwepo maelewano na viongozi wa dini hizi mbili. Tangu nchi inapata uhuru CCM imebebwa na waislamu na wakatoliki, kupitia COMPROMISE iliyofanywa na wakina Nyerere baada ya uhuru. Huu ndiyo ukweli mchungu.
Raisi anaweza akawa sahihi na viongozi wa dini wakawa hawako sahihi, au viongozi wa dini wanaweza wakawa sahihi na Raisi hayuko sahihi. Akitunisha misuli na kutotaka kufanya mazungumzo na hawa watu muhimu nchini ili kufikia hatma ya mzozo, kwasababu tu yeye anashikilia dola na anaungwa mkono na watu wa dini yake, basi anawweza kujikuta amekalia kuti kavu. Maraisi woteee kuanzia Nyerere waliufahamu huu ukweli, kwamba Tanzania siyo nchi ya dini moja hata kama waumini wenzako watakuunga mkono asilimia zote.
Narudia tena kukwambia serikali inaheshimu dini zote lakini hakuna dini itaipanda serikali hii ya Tanzania kichwani kamwe. Tunajua namna ya kuwashughulikia watu wanaoleta hizi chokochoko za udini na hii siyo mara ya kwanza.Nimalize kwa kusema hivi, tuombe uzima tu.....
Raisi Magufuli alikuwa ni kifaru Samia arudi nyuma, ila kuna watu alishindana nao akakwama.
Zisipotumika busara, tutarudi kwenye huu uzi kukumbushana haya, naamini muda ni mwalimu mzuri.
Mama anachapa kazi kisawasawa ya kuuza rasilimari za nchi .Hawana ubavu huo kwa sasa, bandari ndiyo ianwaponyoka hiyo.
Samia ni Simba mwenda pole. Wanatamani aongee waelewe muelekeo wake, lakini kishwasoma, yeye kimya anachapa kazi tu.
mama Samia anawaweza sana.
Sheikh kama Magufuli aliiba kura huyo Mama yako anauhalali Gani wa kuwa rais?
Na kama kuna mtu anataka kuwa kiongozi bila kukosolewa,aachie uongozi awe kiongozi wa familia yake.Kama kawaida yako,ukiishiwa hoja au ukizidiwa unakimbilia sijui ignore list,huo ni udhaifu mkubwa sana,
Hata Mimi nilishakubana ukaishiwa hoja ukakimbilia eti sijui kuniweka igore list,kama unataka kupost bila kukosolewa,nenda Fesibuku ukaendelee ku like mitindo ya nywele na madela.
Mama anachapa kazi kisawasawa ya kuuza rasilimari za nchi .
View attachment 2685292
Daah usiniangushe bro hivi maandamano akidi inahitaji wafikie wangapi? Maana kiukweli mie niliona hawazidi sita askari waliwaita kwa mahojiano kuwauliza shida yao ni nini? Hata lupango hawakulala waleNa wale vijana walioshikwa baada ya kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuandamana je?