Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

Serikali ya nchi hii ina mkono mrefu hakuna shehe wala askofu anaeweza kutoa maelekezo yeyote kwa serikali. Serikali inasikiliza na kuheshimu maoni ya viongozi wa dini lakini kamwe hakuna dini itapanda kichwani mwa serikali hiyo msahau. Never
Serikali ya CCM haiwezi kufanya kazi bila viongozi wa dini. Hutaki unaacha......
Ninavyosema mashehe simaanishi wakina Kipozeo, wala maaskofu simaanishi wakina Gwajima.​
 
Samia hauwezai muziki wa maaskofu. Hao ni watu ambao wakiitisha maandamano, watu wanaitikia kweli. Kwa hiyo awe makini!
Hawana ubavu huo kwa sasa, bandari ndiyo ianwaponyoka hiyo.

Samia ni Simba mwenda pole. Wanatamani aongee waelewe muelekeo wake, lakini kishwasoma, yeye kimya anachapa kazi tu.

mama Samia anawaweza sana.
 
Tafadhali usiusemee Uislam kama huuelewi. Tuulize Waislam tukufahamishe.

kauli ya mufti wa bakwata au Sheikh yeyote yule, ambayo ipo nje ya Uislam haina nguvu kabisa kwa Waislam, hatutaikubali.

kauli ya yeyote mradi isikiuke misingi ya imani za watu inakubalika Kiislam. hata kauli yako ikiwa kwenye haki, uwe usiwe Muislam tutaikubali, ikiwa nje ya haki hatutaikubali.
Hayo ya Uislamu hayanihusu wala sihitaji kuyafahamu...
Ninachokwambia ni hiki, Tanzania inaongozwa kwa COMPROMISE baina CCM na viongozi wa dini kubwa.
 
Serikali ya CCM haiwezi kufanya kazi bila viongozi wa dini. Hutaki unaacha......
Ninavyosema mashehe simaanishi wakina Kipozeo, wala maaskofu simaanishi wakina Gwajima.​
Hao hao unaowajua wewe. Nimekwambia serikali inaheshimu dini zote hata hao viongozi wakina gwajima wewe unaowadharau lakini serikali haipigi goti kwa shehe wala askofu usipoteze muda wako kujidanganya. Ukizingua utazinguliwa tu
 
Aaah, wapi.

Hujaona Dr. Nshala kaitwa kuhojiwa na Polisi kwa kujadili mkataba wa bandari, baada ya agizo la waziri.

Unafikiri waziri anaweza kuagiza polisi wasilaze damu bila ya kupata nod ya rais?
Huyo Dr.nshala kuitwa ofisi ya upelelezi ni muhimu kwanza ye mwenyewe kashalalamika kuwa ametishiwa anataka kuuwawa lazima aitwe atoe maelezo serikali ijuwe inamsaidia vipi. Huyo ameongea mambo mengi kwa wakati mmoja ni mteja mzuri sana kwa DCI huyo.
 
Hao hao unaowajua wewe. Nimekwambia serikali inaheshimu dini zote hata hao viongozi wakina gwajima wewe unaowadharau lakini serikali haipigi goti kwa shehe wala askofu usipoteze muda wako kujidanganya. Ukizingua utazinguliwa tu
Nimalize kwa kusema hivi, tuombe uzima tu.....
Raisi Magufuli alikuwa ni kifaru Samia arudi nyuma, ila kuna watu alishindana nao akakwama.
Zisipotumika busara, tutarudi kwenye huu uzi kukumbushana haya, naamini muda ni mwalimu mzuri.​
 
Huyo Dr.nshala kuitwa ofisi ya upelelezi ni muhimu kwanza ye mwenyewe kashalalamika kuwa ametishiwa anataka kuuwawa lazima aitwe atoe maelezo serikali ijuwe inamsaidia vipi. Huyo ameongea mambo mengi kwa wakati mmoja ni mteja mzuri sana kwa DCI huyo.
Na wale vijana walioshikwa baada ya kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuandamana je?
 
Tafadhali usiusemee Uislam kama huuelewi. Tuulize Waislam tukufahamishe.

kauli ya mufti wa bakwata au Sheikh yeyote yule, ambayo ipo nje ya Uislam haina nguvu kabisa kwa Waislam, hatutaikubali.

kauli ya yeyote mradi isikiuke misingi ya imani za watu inakubalika Kiislam. hata kauli yako ikiwa kwenye haki, uwe usiwe Muislam tutaikubali, ikiwa nje ya haki hatutaikubali.

F.F,

Mwamba kabisa, Uislam Raha sana na ni neema kubwa Alhamdulillah.
 
Nchini Tanzania, taasisi za kidini zinaaminika mno na raia kuliko vyombo vya dola...........

Kauli za mufti wa BAKWATA au Kadinali wa KATOLIKI zina nguvu mno kuliko hata amri ya mahakama kuu ya Tanzania. Kiufupi ni kwamba hakuna mtawala atakayefanikiwa kuitawala vizuri Tanzania bila kuwepo maelewano na viongozi wa dini hizi mbili. Tangu nchi inapata uhuru CCM imebebwa na waislamu na wakatoliki, kupitia COMPROMISE iliyofanywa na wakina Nyerere baada ya uhuru. Huu ndiyo ukweli mchungu.

Raisi anaweza akawa sahihi na viongozi wa dini wakawa hawako sahihi, au viongozi wa dini wanaweza wakawa sahihi na Raisi hayuko sahihi. Akitunisha misuli na kutotaka kufanya mazungumzo na hawa watu muhimu nchini ili kufikia hatma ya mzozo, kwasababu tu yeye anashikilia dola na anaungwa mkono na watu wa dini yake, basi anawweza kujikuta amekalia kuti kavu. Maraisi woteee kuanzia Nyerere waliufahamu huu ukweli, kwamba Tanzania siyo nchi ya dini moja hata kama waumini wenzako watakuunga mkono asilimia zote.​
Hawa wapiga kelele wa JF hawayajui haya.
 
Nimalize kwa kusema hivi, tuombe uzima tu.....
Raisi Magufuli alikuwa ni kifaru Samia arudi nyuma, ila kuna watu alishindana nao akakwama.
Zisipotumika busara, tutarudi kwenye huu uzi kukumbushana haya, naamini muda ni mwalimu mzuri.​
Narudia tena kukwambia serikali inaheshimu dini zote lakini hakuna dini itaipanda serikali hii ya Tanzania kichwani kamwe. Tunajua namna ya kuwashughulikia watu wanaoleta hizi chokochoko za udini na hii siyo mara ya kwanza.
 
Hawana ubavu huo kwa sasa, bandari ndiyo ianwaponyoka hiyo.

Samia ni Simba mwenda pole. Wanatamani aongee waelewe muelekeo wake, lakini kishwasoma, yeye kimya anachapa kazi tu.

mama Samia anawaweza sana.
Mama anachapa kazi kisawasawa ya kuuza rasilimari za nchi .
images (12).jpeg
 
Sheikh kama Magufuli aliiba kura huyo Mama yako anauhalali Gani wa kuwa rais?

Kwani Mama Samia kawa president Kwa wizi wa kura??

Inshallah tuombe uhai 2025 uone kama Samia ataiba kura Yako.
 
Kama kawaida yako,ukiishiwa hoja au ukizidiwa unakimbilia sijui ignore list,huo ni udhaifu mkubwa sana,

Hata Mimi nilishakubana ukaishiwa hoja ukakimbilia eti sijui kuniweka igore list,kama unataka kupost bila kukosolewa,nenda Fesibuku ukaendelee ku like mitindo ya nywele na madela.
Na kama kuna mtu anataka kuwa kiongozi bila kukosolewa,aachie uongozi awe kiongozi wa familia yake.
 
Na wale vijana walioshikwa baada ya kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuandamana je?
Daah usiniangushe bro hivi maandamano akidi inahitaji wafikie wangapi? Maana kiukweli mie niliona hawazidi sita askari waliwaita kwa mahojiano kuwauliza shida yao ni nini? Hata lupango hawakulala wale
 
Back
Top Bottom