Mim nilidhani mjaruoNi msumbwa
Cheo cha Mrema( RIP) KimerudishwaNaibu waziri mkuu? 🤔 Hiki cheo toka lini kipo 🤔
Mama anamuone hurumaamtoe tu yeye si ndo mwenye mamlaka ya kumtoa
Mkaldayoooo mbusiii mbussiiii sana weweMkuu simama hapo mezani sebuleni...
Mpaka uwe kwenye system,harafu sio Kila anaemsifia Rais ni chawa au anatafuta Uteuzi hapana ni just kufurahishwa na Uongozi husika.Dah kwenye listi hii mbona simuoni ChoiceVariable Lucas mwashambwa Robert Heriel Mtibeli au kule kwenye teuzi wanawekewa majina yao halisi tusioyajua?? 😂😂 (Natania tu)
Hakuna njia yoyote huyu jamaa hawezi kuwa hivo mnavyosema NEVERNjia ya urais imeshatengenezwa kwake
Hakuna jipya, it's business as usual.Niseme hivi,these changes are very cosmetic and clearly show how Samia is not interested in meeting the basic demands of Tanzanians.Kumuweka Makamba kwenye Wizara kama ya Mambo ya Nje shows how she is out of touch with the needs of Tanzanians.Ni muhimu Samia akasoma alama za nyakati.Matukio ya Mali,Burkina Faso,Niger na sasa Gabon,naomba yamuamshe usingizini.Uonevu waliokuwa wanafanyiwa wananchi wa nchi hizo hauna tofauti sana na uonevu tunaofanyiwa pia Watanzania.Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7bLEuvgVGG4
======
View attachment 2733279
View attachment 2733280
View attachment 2733281
View attachment 2733282
ngoja tuone huruma yake itamfikisha wapiMama anamuone huruma
Sikupingi mkuuMpaka uwe kwenye system,harafu sio Kila anaemsifia Rais ni chawa au anatafuta Uteuzi hapana ni just kufurahishwa na Uongozi husika.
Upuuzi,kwanza Biteko na Majaliwa nani ni muwajibikaji?Feel sorry to Hon. Majaliwa, an iron man na mwajibikaji haswa.
Kassim hakubaliani na Utapeli wa DP, ni kwa vile tu Ccm wote wachumia tumbo, ingekuwa nchi za watu wanaojiheshimu Kassim angejiuzuru uwaziri mkuu na angeheshimika daima.Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.
Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.