Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Yule mnyiramba mganga wake atakuwa mkali hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha ugaidi na upotoshajiHivi kwa nchi zetu hizi za Afrika ambazo zina lundo la nafasi za uongozi na bado ni masikini ambapo wengine wanasema umasikini wetu umesababishwa na laana, wengine ni utamaduni wa kutopenda kazi na mifumo mibovu ya kubana mafisadina kuleta uwajibikaji;
Kuna ulazima gani kuwa na nafasi ya Naibu Waziri Mkuu?
Tangu lini mwenye mkono wa Sweta a.k.a G.OV.I akawa na akili? Kupaa na ungo Kila siku akili itatoka wapi? Ungenambia Kula ugali mkubwa sawaAcha na iwe ,wasukuma wana akili sana
Nakuelewa sana mama.!Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.
Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.
Mkuu simama hapo mezani sebuleni...Huyo kipara wa umeme wamtoe kabisaa kudadek zake shwaini
Kilikuwepo kwa Augustine MremaKwanza hiki cheo kipo kwenye katiba? ndiyo nakisikia tangu nizaliwe
amtoe tu yeye si ndo mwenye mamlaka ya kumtoaMama anataka kumuondoa lakini ni kama vile anamuonea aibu sasa hebu angalia kapelekewa Biteko ili amsaidie
Watoto wawalala hoi ambao ndio wajenga nchi kwa kodi wanazotoa wanazidi kusota mitaani kwa kukosa ajira,badala ya kupanga mipango ya kuwanusuru na msoto wa kukosa ajira ndio kwanza wanafikria mbinu za kupeana ulaji wenyewe kwa wenyewe,naibu waziri mkuu ndio nini kama siyo kupeana ulaji?wakati hata cheo cha makam wa rais nacho hakina tija yoyote kwa nchi.
Nimeishia hapo ulipoandika "ujui"Ujui katiba we kilaza wa Tec
Wacha ugaidi na Upotoshaji wa Makusudi.Acha ujinga. Huyu ndo mkombozi wetu baada ya kuteswa na jiwe miaka mitano bila mishahara kuongezeka Wala ajira mpya zozote. Sasa hivi ajira ni kila pahala hasa sector binafsi ambayo ilikuwa imekufa kabisa kifo Cha Mende.
Sasa hivi utalii inaajiri kwa Kasi mno na waliosoma tourism wanasema mama has rescued them. Sector ya bank inaajiri kwa mamia kwa Sasa baada ya kupulia mashine k a miaka mitano ya jiwe.
Mpaka ameamua kuwarudishia pesa zilizoobwa kwenye akaunti za Hawa wamiliki wa bureau de change. Sasa hatusikii watu kuuawa ovyo ovyo na watu wasiojulikana.
Anawavuta ili apate kura za mashabiki wa Magufuli.Acha na iwe ,wasukuma wana akili sana
na bw Pascal Mayalla ?@ Lucas mwashambwa umekumbukwa kweli?
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7bLEuvgVGG4
======
View attachment 2733279
View attachment 2733280
View attachment 2733281
View attachment 2733282