Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
Ulichoandika si kweli binadam tumetofautiana kila mmoja na roho yake na maamuzi yake.Wine ile ile glass ndiyo mpya. Tegemea kulewa kwa kiwango kilele, na taste ile ile.
Uzuri Watanzania kila akiingia kiongozi uwa tunasema sasa huyu ndiye. Nimebahatika kuwepo kuanzia awamu ya mwinyi ya mwisho mwisho, nikawepo kwa mkapa, nikawepo kwa JK, nimekuwepo kwa JPM na sasa SSH, na mara zote uwa hatujipi hata miezi, tunasema huyu ndiye.Ulichoandika si kweli binadam tumetofautiana kila mmoja na roho yake na maamuzi yake.
Sio kila mtu/ kila kiongozi anahulka ya kutesa watu na kukomoa watu.
Labda lakin kumbuka pindi ilipopitishwa na yeye alikuwepo kama msaidizi wa raissasa tupo serikali mpya ya awam ya sita, nadhani serikali yetu mpya chini ya rais wetu mpendwa lazma watapitia kwa upya swala hili.
Yawezekana huu sio mpango wa awam ya sita bali ulikuwa ni mpango wa awam ya tano.
Ngoja tusubiri majibuHabari wakubwa nakumbuka Waziri wa Mawasiliano alisema kuanzia tarehe 1 April itakuwa ukinunua kifurushi hakuna kuisha muda wake mpaka ukimalize lakini bado mambo yapo vile vile ni Kauli yake imepuuzwa au? Ndio siasa zenyeweView attachment 1739963
mambo yameshahalibika tsh 3000 nilikua napata 3gb kwa week saizi menu inaonyesha ni 1.3gb kwa week. Hasa kwa mazingira haya mimi kama mteja nimefaidika nini na hizo kanuni zao mpya.Ni bora wasifuate kauli yake, hivi ulijaribu kufanya hesabu ya alichosema? Kwa bei elekezi yake utakuwa unanunua vifurushi kwa bei zaidi kuliko hivi sasa.
Wao hawajali wako tu kwenye propaganda ya kutuita wanyonge. Tangu lini mtu anayevuta zaidi ya milioni 15 kwa mwezi akajua shida ya mtu anayeishi chini ya dollar moja kwa siku bwana 😅.mambo yameshahalibika tsh 3000 nilikua napata 3gb kwa week saizi menu inaonyesha ni 1.3gb kwa week. Hasa kwa mazingira haya mimi kama mteja nimefaidika nini na hizo kanuni zao mpya.
Tujiachie na data mwelele
Vinaanza rasmi kesho leo ni siku ya wajinga
shida ya vifurushi kupanda bei kunasababishwa na serikali yenyewe baada ya kuwakamua kodi kubwa kampuni za simu. Harafu serikali hiyo hiyo baadae inageuka na kujifanya haihusiki kwenye issue hii wakati wao ndio chanzo cha haya yoteWao hawajali wako tu kwenye propaganda ya kutuita wanyonge. Tangu lini mtu anayevuta zaidi ya milioni 15 kwa mwezi akajua shida ya mtu anayeishi chini ya dollar moja kwa siku bwana 😅.
Ni vizuri kabla ya kuangalia hio cost comparison uangalie na income comparison ya raia wa hizo nchi zilizoendelea na nchi yetuNaomba kupata comparison kwa nchi zilizoendelea
Uzuri wengi hawalijui hilo wanafurahia kuwaona kwenye tv wakitoa matamkoshida ya vifurushi kupanda bei kunasababishwa na serikali yenyewe baada ya kuwakamua kodi kubwa kampuni za simu. Harafu serikali hiyo hiyo baadae inageuka na kujifanya haihusiki kwenye issue hii wakati wao ndio chanzo cha haya yote
Maniner zao ningejua jana ningejivika mabomu nijiunge cha mwezi😬Nami nimeliwaza hilo sana
Halafu ni week tu, per month wameamua waitoe.!Wale wa mega bundle ya halopesa moto umewakaView attachment 1740081
Yaani tutaisoma namba wallah, kama sio Kiebrania basi KigaratiaHatukomeshwi kweli..?
Bidhaa hizi za kimataifa bei yake haiangalii tofauti ya kipatoNi vizuri kabla ya kuangalia hio cost comparison uangalie na income comparison ya raia wa hizo nchi zilizoendelea na nchi yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayati angetupigania katika hili s alituita wanyonge wakat tupo uchumi wa dole la....