Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Wine ile ile glass ndiyo mpya. Tegemea kulewa kwa kiwango kilele, na taste ile ile.
Ulichoandika si kweli binadam tumetofautiana kila mmoja na roho yake na maamuzi yake.

Sio kila mtu/ kila kiongozi anahulka ya kutesa watu na kukomoa watu.
 
Uzuri Watanzania kila akiingia kiongozi uwa tunasema sasa huyu ndiye. Nimebahatika kuwepo kuanzia awamu ya mwinyi ya mwisho mwisho, nikawepo kwa mkapa, nikawepo kwa JK, nimekuwepo kwa JPM na sasa SSH, na mara zote uwa hatujipi hata miezi, tunasema huyu ndiye.
Sisiemu ina wenyewe😅😅😅
 
sasa tupo serikali mpya ya awam ya sita, nadhani serikali yetu mpya chini ya rais wetu mpendwa lazma watapitia kwa upya swala hili.
Yawezekana huu sio mpango wa awam ya sita bali ulikuwa ni mpango wa awam ya tano.
Labda lakin kumbuka pindi ilipopitishwa na yeye alikuwepo kama msaidizi wa rais
 
Subirini hiyo kesho ifike,tigo ndiyo watakula watu tigo!😆😆😆
 
Ni bora wasifuate kauli yake, hivi ulijaribu kufanya hesabu ya alichosema? Kwa bei elekezi yake utakuwa unanunua vifurushi kwa bei zaidi kuliko hivi sasa.
mambo yameshahalibika tsh 3000 nilikua napata 3gb kwa week saizi menu inaonyesha ni 1.3gb kwa week. Hasa kwa mazingira haya mimi kama mteja nimefaidika nini na hizo kanuni zao mpya.
 
Wao hawajali wako tu kwenye propaganda ya kutuita wanyonge. Tangu lini mtu anayevuta zaidi ya milioni 15 kwa mwezi akajua shida ya mtu anayeishi chini ya dollar moja kwa siku bwana 😅.
 
shida ya vifurushi kupanda bei kunasababishwa na serikali yenyewe baada ya kuwakamua kodi kubwa kampuni za simu. Harafu serikali hiyo hiyo baadae inageuka na kujifanya haihusiki kwenye issue hii wakati wao ndio chanzo cha haya yote
 
Uzuri wengi hawalijui hilo wanafurahia kuwaona kwenye tv wakitoa matamko
 
Back
Top Bottom