Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
HaijaelewekaHii ndio video iliyowapelekea LATRA kusitisha safari za mabasi tajwa kwa muda wa sa tisa usiku na badala yake kurejea kuondoka sa kumi nambili asubuhView attachment 2663425
Tatizo watakufa hadi wasiokuwemo kwenye hayo mabasiLATRA wanakosea wangeacha abiria wamue kufa kwa mwendo kasi au vipi maana ipo siku Israeli angejibu maombi yao
Wamegwaya karejea, Jumapili nimemkuta Msamvu saa 2:33 asubuhi na Dar ametoka 12:00Sauli wa Mbeya naona walimpiga pin
UkraineNi route za wapi hzo nianze kuyapanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
da to msamvu n masaa mawili na nusu apo katembea kawaida mbonaWamegwaya karejea, Jumapili nimemkuta Msamvu saa 2:33 asubuhi na Dar ametoka 12:00
Kwa wingi wa tochi huko njiani!!da to msamvu n masaa mawili na nusu apo katembea kawaida mbona
Hao trafik mpaka waamke watafte pori la kujificha gari zipo Msamvu tayariKwa wingi wa tochi huko njiani!!
hapo itakua uhasama, sasa kwa nini uruhusu kampuni moja iwahi kutoka ingine ichelewe kutoka dakika kadhaaSidhani kama ni uamuzi sahihi. Badala yake wangetenganisha. Ally's akiondoka saa tisa kamili, Katarama aondoke baada ya nusu saa.
Ligi hazitakuwepo tofauti na hii ambapo mabasi yote yanaondoka muda unaofanana.
Dar To Mwanza haoNi route za wapi hzo nianze kuyapanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio video iliyowapelekea LATRA kusitisha safari za usiku kwa mabasi ya Ally's na Katarama kwa muda wa kutoka dar es salaam sa tisa usiku kwenda Mwanza na badala yake yataondoka sa kumi nambili asubuhi View attachment 2663425
Walikuwa wanasafiri usiku muda huo sasa hawataweza tena kusafiri muda huoMe sjaelewa, wamefungiwa saa 9 maana yake nn
Nilipanda hiyo Katarama, safari ilijaa kero hayo mambo (yanayofanyika kwenye video) ni kila mahali anapopita kuanzia Chalinze, Moro, na vimiji vyake vidogo mpaka mwisho wa safari!!
Kero zaidi! Nilikaa siti ya mbele, lina honi kama mawimbo mweee mweeee!! Kila kona akiona watu honi!! Hupumziki, huwezi hata kusinzia na hata kuongea na simu shida!! Wafungiwe tuu
Mapumbavu sana
Yanapoteza mda wao kuangalia wenye akili wakiingiza hela
Acha yawe masikini tu
Kwa sheria zetu hawez tembea kwa huo muda... yaani 12.00 dar msamvu ni saa 3.30 ama 4da to msamvu n masaa mawili na nusu apo katembea kawaida mbona
Hao trafik mpaka waamke watafte pori la kujificha gari zipo Msamvu tayari
Mkuu, usiwachukulie poa hao wasukuma hapo kavuna gunia kama 100 za mpunga ziko stoo na ana ng'ombe 32. We una mtepesho tuMapumbavu sana
Yanapoteza mda wao kuangalia wenye akili wakiingiza hela
Acha yawe masikini tu
Inawezekana pia ila umasikini wenu uko pale pale huyo unaemsifia ameajiri watu wangapi kwa ng'ombe hizoMkuu, usiwachukulie poa hao wasukuma hapo kavuna gunia kama 100 za mpunga ziko stoo na ana ng'ombe 32. We una mtepesho tu
Kweli kabisa ila sio ya kufurahia kuna hatari ya kufa watu na wao wanafurahia tuMkuu huez ishi dunia ya peke yako...
Alaf hao wapo maeneo yao ya kazi na hayo ni maisha yao ya kila cku