kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
Unaonaje nikikupuuza?! Nilitarajia ungejadili hoja, lakini nimeshakugundua huna uwezo wa kujadili hoja, so busara kwangu ni kukupuuza!!!
Onesha ulipohoji usahihi wa nilichoandika!!!Huna sababu ya kuniuliza,we fanya vile inavyokupendeza.
Hapa hakuna HOJA ya kujadili kwa sababu thread yako imeegemea zaidi kwenye HISIA kuliko FACTS
Halafu unakuwa mkali watu wakihoji USAHIHI wa ulichoandika hapa,sasa unataka wote tukubaliane na wewe hata kama tunaona ndivyo sivyo?
Mkuu hakuna kitu kigumu kumeza kama ukweli mchungu, UKWELI UNA SIFA YA KUTOPENDWA!! Hoja ukiona zinapigwa rungu... "ukiona waheshimiwa mjengoni na mitaani wakitoa lugha sizo basi ujue NDIVYO TULIVYOANDALIWA" hoja zinajibiwa kwa mihemko na matusi badala ya kujadiliwa na kubomolewa kwa hoja...Hawana cha kujadili, wanaishia matusi tu!!!
Eti unasema? "...maelfu ya Hekari za kutokea mtukula mpaka Tanga yatakayokufa bila shughuli yoyote ya kiuchumi?"
Dola 16 na ushee kwa pipa linalopita hapo siyo shughuli? Kwa siku yatapita mapipa mangapi, unajua mkuu? Hiyo ni hela ndogo? Na hayo mafuta yakiisha, si ardhi bado ipo?
I wish watu wangekuwa wanasoma kwa makini mambo kama haya!!! Na nilichelea tu thread kuifanya kuwa ndefu kupindukia manake nilitamani niwawekee hadi model mzima, na miradi yake!!Unajua kuna jambo tunapokua kwenye ulaji wa kodi za wananchi tunalisahau.
Serikali ni watu wachache waliopewa dhamana ili wasimamie mifumo tuliyojiwekea.
Lakini kuna mamilioni ya watu wanaishi maisha yao ya kila siku hata kama pangekua hakuna serikali wangeishi raha mustarehe.
Lakini serikali bila watu wanaofanya shughuli zao na kulipa kodi haiwezi kuwa na nguvu ya kiuchumi. China na Marekani zinahangaika Dunia nzima ili watu wao wapate masoko makubwa zaidi sio tu tu wabanane kule ndani wenyewe kwa wenyewe.
Hujanielewa !
Kuna maelfu ya Hekari za Ardhi kutokea Mtukula mpaka Tanga ambayo huwezi ukalima,ukajenga,ukafungua Hoteli,ukafungua ,baa,ukaweka soko,ukaweka kiwanja cha mpira , ukajenga Josho la ng'ombe,ukajenga shule ,ukajenga kiwanda , ukachimba madini hata kama utagundua kuwa yapo, ukapanda miti ,ukatunza misitu, ukachimba kisima ,yaani ni maelfu ya ekari toka Mtukula mpaka Tanga hayataruhusiwa kufanya shughuli yoyote ya uzalishaji au biashara kwa mwananchi maskini zaidi ya mabeberu na serikali inayolinda maslahi ya mabeberu wa Kirumi yaani Ulaya na Marekani !
Ardhi ya Bagamoyo kwenye Bandari kubwa Barani Afrika kutakua na shuguli nyingi za migahawa, mahoteli,nyumba za kupanga wafanyakazi wengi sana,biashara ya mabasi,daladala, mama lishe, wamachinga, viwanda vingi, Malori Maelfu kwa maelfu toka nchi jirani kuja kuchukua mizigo hivyo yataweka mafuta kwenye Sheli zetu na kutuingizia kodi ,pesa za Ewura,Tanroad,Rea, tarura n.k. Pia Biashara za magereji kutokana na magari kuwa mengi , ajira za walinzi ambao ni watu wa kawaida kabisa n.k.
Kwa hiyo kuleta stori za uzalendo wa ardhi ya Bomba la mafuta na kupinda ardhi ya Bandari ya Bagamoyo ni Uzalendo feki wa kikabila kwa sababu yule ni wa Pwani na yule ni wa mtukula . Tuwe wazalendo wa kweli wanaojali nchi yetu bila kujali nani amekaa kwenye ofisi ya Magogoni. Jambo jema ni jema tu hata likifanywa na mkoloni. Tuweke ushabiki pembeni.
Kenya kupitisha lile bomba ilikua ni shughuli kutokana na gharama kubwa ya kufidia ardhi kwa mabeberu wenye ardhi kule. Na ardhi yao ni ndogo hivyo mtu anamiliki ardhi na anapanga bei anayotaka alipwe . Wakakimbilia huku kwenye ardhi ya serikali inayoweza kuichukua bure na kumpa mwekezaji bila mwananchi kupata kitu anachoona kinamtosha.
Umeongea jambo la maana manake hapa ndo pale wajuvi wa mambo wanaposema "Usishindane na mpumbavu manake watu watashindwa kuona tofauti kati yenu".Mkuu huyu asiharibu huu uzi mwache apagawe na kuweweseka atakavyo
Mkuu sio yeye WANATUMWA NA KUTUMIKA. Si kwa maslahi ya nchi bali kwa maslahi ya mabwana zao waliojivika jina la uzalendo... wakishapewa "vilevi" hawaoni aibu kujianika humu na vigodoro vyao...Halafu watu wanashangaza sana! Yaani mtu anaibuka from nowhere anaanza na mitusi! Mambo ya ajabu sana!!!
Hoja ni mkataba tata wa ujenzi wa bandariKama ulivyowahi kuwekewa mkataba na nani? Hivi nyie watu zinawatosha kweli?!
Jadili hoja, kama huna hoja, syfu!
Unajua hili zuzu nilikuwa wala silifahamu manake ID yake yenyewe ndo kwanza naiona leo! Nikalazimika kupitia posts zake za nyuma, nikagundua she's too low to argue with!!! Ni ile mijinga iliyodhani Urais wa Magufuli ni wa kabila zima, na kwahiyo wana wajibu wa kuutetea!Mkuu sio yeye WANATUMWA NA KUTUMIKA. Si kwa maslahi ya nchi bali kwa maslahi ya mabwana zao waliojivika jina la uzalendo... wakishapewa "vilevi" hawaoni aibu kujianika humu na vigodoro vyao...
Midhali unatokwa povu naamini ujumbe umekuingieni vyema π πKuna uzi wa maana au makahaba wa mafisadi mnauza sura.
Wenye faida ni nyie na basha aliyewatuma.Midhali unatokwa povu naamini ujumbe umekuingieni vyema π π
Hoja haipigwi rungu... wewe ni mzalendo sana na umeelewa vema lugha zako zinatuthibitishia hilo HONGERA π
Je mradi wa bandari ya Bagamoyo kwa mujibu wa mada wenye faida ni sisi au mabeberu?
Hakika Mkuu... huyu pia yawezekana alikuwa akilamba viatu vya kakowkow au ndiye yeye mwenyewe ULAJI UMEKATA LAZIMA HASIRA ZITAWALE!!Unajua hili zuzu nilikuwa wala silifahamu manake ID yake yenyewe ndo kwanza naiona leo! Nikalazimika kupitia posts zake za nyuma, nikagundua she's too low to argue with!!! Ni ile mijinga iliyodhani Urais wa Magufuli ni kabila zima na kwahiyo wana wajibu wa kuutetea!
Man, upo JF kwa miaka 11 sasa!! Ni muda mrefu sana huo!!!Hoja ni mkataba tata wa ujenzi wa bandari
Tunajadili vipi bila mkataba ??????
TPA CEO Kakoko kasema Wachina hawatalipa kodi, Mchina kasema Kakoko mwongo!
Ya nini ?
Weka mkataba!
Thubutu yake mwenyewe!Hakika Mkuu... huyu pia yawezekana alikuwa akilamba viatu vya kakowkow au ndiye yeye mwenyewe ULAJI UMEKATA LAZIMA HASIRA ZITAWALE!!
Mkuu unatumika vibaya π πWenye faida ni nyie na basha aliyewatuma.
Mkuu tatizo ni UNAFIKI WA WANASIASA "POPO" WAFUATA UPEPO KWA KUFUATA MASLAHI YAO... Waliunga mkono kila kitu pasipo kujadili wala kukosoa penye udhaifu haya ndio matokeo yake...Kinacho tugarimu watanzania ni kule kutegemea Wanasiasa wasio na utaalamu wa kila jambo kutuamulia kila jambo.
Hii itatupelekea kuwa hapa hapa tulipo Kama sio kurudi nyuma hali wenzetu wanasonga mbele kwa kasi Sana.
Siasa zetu Tanzania zimekua za ovyo zinazoelemea ukabila ukanda ubinafsi na kila aina ya udhaifu wa kibinadamu badala ya maendeleo ya taifa kwa nyakati zijazo.
Kwa mfano wa serikali ya awamu iliopita ilifanya mambo yake kana kwamba yenyewe ndio ilikua ya Kwanza na ya mwisho, ilivunja vunja kila lililokua limepangwa na kupanga yake mapya na kwa bahati mbaya Sana awamu ile imemalika ikiwa na matokeo tofauti na matarajio.
Wakati ule wa mkapa tuliona mpango walioupanga wa dira ya maendeleo ya taifa kwa miaka 25 mbele .
Na kila serikali iliofuatia ilipaswa kua kutembea katika mpango ule, badala yake wenzetu Hawa wa awamu ya 5 wameenda ndivyo na gharama yake sio ya kidogo.
Mradi wa bagamoyo unafaida Sana kwa taifa kwa vizazi vijavyo, serikali iliopo ikae tena ijadiliane kuliko na makosa kurekebishwe faida ipatikane, mwekezaji apate na taifa lipate, huo ndio zalendo!
Hii kusema sijui mtoto wa fulani alikamatwa kwa uhalifu na fidia ya adhabu ya uhalifu wake ndio bandar ya bagamoyo hizi ndizo fikra duni za kiubinafsi kiubaguzi ambao hautatufokisa popote Kama taifa.
Huu ni mjadala wenye akili? Mabasha wanawaharibu sana wanaume msiopenda kazi ngumu.Mkuu unatumika vibaya π π
Vema ubadilike bado ungali na muda vinginevyo utaharibika kabisa...
Zamani tulikuwa na misemo "SILAHA YA MSHAMBA NI MATUSI AINGIAPO MJINI!" aidha pia "ukiona mtu anatumia sauti kubwa kuzima hoja ujue ni 'kichwa maji aka empty head' so hujachelewa..."
Ukipuuzwa na watu humu usiowajua wala hawakujui huko mtaani utakuwa na hali mbaya... ukichukia mijadala mikali yenye akili utadumaza ubongo... ukiona unapata kichefuchefu mida hii na hasira zisizo na mpangilio vema ukameza "vomidox..." au ukapime ili kuepuka mfadhaiko zaidi pasipo kujua sababu...