Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Na wao wameanza kuupiga mwingi? Ufafanuzi mwenye kujua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekwisha
Jamani mpk Bank tozo tena? Haya ni maumivu sana. Tukaweke wapi pesa zetu .LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti...
Nchi imekuwa ya Moto hatarii...kila unapogusa unachezea za uso.Mm nimechoka kabisa
Duh[emoji15][emoji15][emoji15]Ukisimama nchale ukikaa nchale.
Mwaka wetu huu[emoji20][emoji20][emoji20]
Naona shida hata kuangalia statement[emoji21][emoji21][emoji21]View attachment 1977520
Hapo kati nimegonga miamala mingi balaa. Yani hapa nasiki kama utumbo unajinyongorota vile[emoji20][emoji20][emoji20]Duh[emoji15][emoji15][emoji15]
Hii michache na nilifanya transaction nyingi kifala yani[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]Duh[emoji15][emoji15][emoji15]
Kazi tunayoHii michache na nilifanya transaction nyingi kifala yani[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Ccm ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]View attachment 1977532
Rais wa katiba. Siyo rais wa jmtAnaupiga mwingi
Ukipata mshahara tunakata Kodi
Ukitoa mshahara tunakata Kodi
Ukituma tunakata Kodi
Uliyemtumia akitoa tunakata Kodi
Ukinunua bidhaa tunakata Kodi
Hapo bado tunakusanya na mikopo kutoka nje ya nchi.
"MTANIKUMBUKA..." alisikika jamaa fulani
Huyu bibi ni kumpiga chini 2025.. leo ametumia kiribia mil 500 kwa usafiri tuu toka kilimanjaro hadi arusha.. ndege, magari kama 50, helkppter etc..
Kumbe fedha zote hizi ni tozo za kuviziana[emoji1787][emoji28]