KWENU, National microfinance bank(nmb),hua mnajinasibu na kujifaragua kwamba ukiwa na akaunti ya nmb kutuma pesa kwenda nmb ni bure(Kama nimekosea msomaji mwingine anaweza kunikosoa au kunirekebisha) Sasa Jana usiku mmeniletea ujumbe yakwamba tunakusanya tozo za serikali kutokana na miamala uliofanya.
Miamala niliofanya ni ya kwenda nmb pia,Sasa je[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kuna tozo nmb kwenda NMB? Kama lipo mbona wateja hatufahamu?
Kama ndio hivyo ondoeni Ile tangazo kwamba kutuma pesa nmb kwenda nmb ni bureeeeee,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]