Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Watu wameanza kuletewa meseji kwenye simu kuhusu tozo wanazotozwa pindi wakifanya miamala ya kibenki.

Naona serikali imeamua sasa kutwaa fedha za wananchi kupitia tozo.

Sasa kinachofanyika, wananchi wanailipa serikali kodi za kawaida kama vile VAT n.k, halafu inakuja on top of that inakwangua pesa za watu kwa jina la tozo
Kwa kwenli tozo ni kama unyang'anyi wa wazi.

Mfano wa meseji ambao watu wanapata ni

Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.

Pia, soma=▷
Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021
 
Kila sehemu ni tozo, naogopa hafi kufungua friji[emoji1787]
 
Tozo siyo kodi,
Ndiyo maana haijaitwa kodi kwa sababu by nature siyo kodi , tozo hizi ni kama vile kulazimishwa na jambazi ummegee mali yako!
Kodi ya mshikamano

Ujerumani wao wamelipa miaka mingi huko nyuma


Sisi tunaona mambo haya ni mapya, ndio mshikamano huo, hakuna namna tulipe tuu..
 
Hapa cha kufanya ni kwenda Benki na KUCHOMOA PESA ZAKO ZOTE kwenye account halafu uzitunze unapojua, kama ni kuzichimbia basi hewala. Maana ukiendelea kuziacha kwenye account basi maana yake ni kuwa kila ukifanya muamala nao wanajimegea portion kwenye hela yako ileile.
This is totally unfair!
 
CHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia, wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh


Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo

USSR
 
CHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia ,wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh


Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo

USSR
 
Back
Top Bottom