Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Huu ni upumbavu uliopitiliza...kwanini Kama ni tozo wasitoe taarifa kwanza ndio waanze kukata? Hyo miamala nisingeifanya Kama ningejua Kuna hayo matozo yenu otherwise kwanini msingebeba huo mzigo wa hayo makato ninyi mnahamisha kwa wateja ambao hamkuwaambia? Huu mi ushenzi sana. Nimeangalia akaunti yangu nimekatwa zaidi ya elfu 50...
Kuna gazeti walitangaza, mimi niliona September sehemu nikachukua screenshot.

Na bado kodi ya kafi ya Mwaka.

Si mnamshabikia; endeleeni.
Screenshot_20210903-182334.jpg
 
Kesho nawafata rasmi wanitolee app zote kwenye simu yangu pamoja na simbanking tuone hizo tozo watamkata Nani..pumbavu sana
Uliwafuata wanakutolea gazeti walimo tangaza[emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • Screenshot_20210903-182334.jpg
    Screenshot_20210903-182334.jpg
    23.1 KB · Views: 4
LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO

Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.

Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye simu tozo. Mnataka tuende wapi? Juzi nimetuma crdb to crdb nimeliwa 7500 huku nmb napo wanachukua tozo.

Kwenye simu miamala moto unawaka. Tunaumizana sana nchi hiiii
Hili lilibainishwa na mh.Waziri wa fedha mwanzoni tuu isipokuwa utekelezaji ulikuwa bado
 
Zile za IMF zimeishia wapi kwani, maana tulidhani tumepata ahueni ya tozo.....bongolala is doomed.
 
hiyo 7500 itakua ulikua na madeni yako binafsi labda
Sikuwa na deni binafsi .nilikuwa na milion moja na elfu moja nikataka kuihamisha account ya mtu ikagoma. Nikapunguza elfu 5 bado ikagoma. Nikapunguza kumi ndio ikakubali kucheki salio imebaki 2500.niliishiwa nguvu.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Anayejua mama anakotupeleka aniambie.

Vitu vimezidi kupanda bei. Mbaya zaidi vinaadimika.

Tozo sasa kila muamala wa fedha.

Nchi inatawaliwa na watu katili kupita maelezo. Hatima ya maisha ya Watanzania maskini nu nini?
 
Uliwafuata wanakutolea gazeti walimo tangaza[emoji23][emoji23]
Sio hyo Kaka hapa tunazungumzia tozo unapohamisha Ela kwa kutumia simu mfano akaunti ya nmb kwenda nmb ilikuwa bure Ila serikali imeingiza tozo Sasa ukihamisha unakatwa tozo
 
Back
Top Bottom