Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Ni ile sh 100 ukatwayo ukiuliza Salio kutumia simbanking
 
Anaupiga mwingi

Ukipata mshahara tunakata Kodi
Ukitoa mshahara tunakata Kodi
Ukituma tunakata Kodi
Uliyemtumia akitoa tunakata Kodi
Ukinunua bidhaa tunakata Kodi

Hapo bado tunakusanya na mikopo kutoka nje ya nchi.

"MTANIKUMBUKA..." alisikika jamaa fulani
 
LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO

Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti...
Jamani mpk Bank tozo tena? Haya ni maumivu sana. Tukaweke wapi pesa zetu .
 
Me Naomba nilie jamani Naomba tu nilie [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ukisimama nchale ukikaa nchale.

Mwaka wetu huu[emoji20][emoji20][emoji20]

NMB hawa saaa

Naona shida hata kuangalia statement[emoji21][emoji21][emoji21]
 
Huyu bibi ni kumpiga chini 2025.. leo ametumia kiribia mil 500 kwa usafiri tuu toka kilimanjaro hadi arusha.. ndege, magari kama 50, helkppter etc..

Kumbe fedha zote hizi ni tozo za kuviziana[emoji1787][emoji28]
 
Kwny laki5 na 20 nimewaachia 20 ...nchi hii alaniwe aliyeanzisha tozo
 
Rais wa katiba. Siyo rais wa jmt
 
Magu alikusanya pesa toka kwa matajiri, tulimsema sana. Mama amewaacha matajiri wanakula ubwabwa kwa mrija, masikini ishakuwa zamu yetu.

Futseke zao hovyo kabisa.
 
Huyu bibi ni kumpiga chini 2025.. leo ametumia kiribia mil 500 kwa usafiri tuu toka kilimanjaro hadi arusha.. ndege, magari kama 50, helkppter etc..

Kumbe fedha zote hizi ni tozo za kuviziana[emoji1787][emoji28]

Kama anafaa hofu yake nini kupambana na wengine kwenye uwanja sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…