Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Nyie wote wa kipato cha chini mnafahamika kama CHADEMA. Yaani kazi yenu ni kupinga na kulalamika. Wenzenu CCM wameshaunga mkono tozo zote; hawaoni shida. Nani awasikilize?
Siasa uchwara zilimponza sabaya.
 
Sah..wafanyakazi tutakufa taratibu sana kwa stress😒😒😒🤒🤒. Maana huwezi kusema unachukua mshahara cash dirishani🥺😭
 
CHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia ,wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh

Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo

USSR
Akili za kisoda ..umeingia NNYAA
 
Ccm ni majini manyonya damu bora kutawaliwa na wakoloni au Wataliban kuliko CCM
 
Watu wameanza kuletewa meseji kwenye simu kuhusu tozo wanazotozwa pindi wakifanya miamala ya kibenki.

Naona serikali imeamua sasa kutwaa fedha za wananchi kupitia tozo.

Sasa kinachofanyika, wananchi wanailipa serikali kodi za kawaida kama vile VAT n.k, halafu inakuja on top of that inakwangua pesa za watu kwa jina la tozo
Kwa kwenli tozo ni kama unyang'anyi wa wazi.

Mfano wa meseji ambao watu wanapata ni

Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Tozo hizi wazilipe wanaccm tu ambao wanafaidi matunda ya uhuru.
 
Hizi taasisi hazilind maslai ya mteja , sasa hakukuw na makato apo awali watu tumefany miala unakuja kutukata masalio yetu.

Dah hili nmb halijakaa vzr kbsa, kwan sheria ikija mpya inahukumu hadi yaliyopta, ukitumia akili timamu tz unawez usiishi.
 
Mark this comment, mama hatapita kura za maoni kwahio atahudumu miaka yake mitano.tu atatupwa baharini kwenye kura za maoni, rais mpya atatoka kanda ya ziwa tena.. Nani?! Stay tuned!

Mark this comment.
LET US wait and see, how time heals!
 
Hapa cha kufanya ni kwenda Benki na KUCHOMOA PESA ZAKO ZOTE kwenye account halafu uzitunze unapojua, kama ni kuzichimbia basi hewala. Maana ukiendelea kuziacha kwenye account basi maana yake ni kuwa kila ukifanya muamala nao wanajimegea portion kwenye hela yako ileile.
This is totally unfair!
Wewe hujakatwa hata thumni hadi dakika hii lakini umelishupalia hili suala utafikiri umekatwa
 
Hapa cha kufanya ni kwenda Benki na KUCHOMOA PESA ZAKO ZOTE kwenye account halafu uzitunze unapojua, kama ni kuzichimbia basi hewala. Maana ukiendelea kuziacha kwenye account basi maana yake ni kuwa kila ukifanya muamala nao wanajimegea portion kwenye hela yako ileile.
This is totally unfair!
Jitahidi basi kuongea kama mtu mwenye akili timamu.

Una hakika pesa ni mali yako ???

Chukua hata Elfu halafu ichome moto hadharani ili tujue kweli kama ni mali yako.

Fukia ndani pesa halafu wabadilishe ubaki na karatasi.
 
Mark this comment, mama hatapita kura za maoni kwahio atahudumu miaka yake mitano.tu atatupwa baharini kwenye kura za maoni, rais mpya atatoka kanda ya ziwa tena.. Nani?! Stay tuned!

Mark this comment.
Ni vizuri kuwa na ndoto lakini jitahidi basi kuota ndoto zenye uhalisia.
 
Back
Top Bottom