Siasa uchwara zilimponza sabaya.Nyie wote wa kipato cha chini mnafahamika kama CHADEMA. Yaani kazi yenu ni kupinga na kulalamika. Wenzenu CCM wameshaunga mkono tozo zote; hawaoni shida. Nani awasikilize?
Tulipe kodi kwa maendeleo ya Taifa.
NyanokoTulipe kodi kwa maendeleo ya Taifa.
Akili za kisoda ..umeingia NNYAACHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia ,wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh
Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo
USSR
Hakika !Serikali katili ya CCM imeshajua watz ni makondoo wanaburuza wanavyotaka.
Wanatoza sh ngapi?Tena wanakata na miamala ya nyuma, Yani wanatudai
Walikimbia kwenye mitandao ya simu wakasema makato n makubwa sana.Mkome kutumia hizi banki.
Tozo hizi wazilipe wanaccm tu ambao wanafaidi matunda ya uhuru.Watu wameanza kuletewa meseji kwenye simu kuhusu tozo wanazotozwa pindi wakifanya miamala ya kibenki.
Naona serikali imeamua sasa kutwaa fedha za wananchi kupitia tozo.
Sasa kinachofanyika, wananchi wanailipa serikali kodi za kawaida kama vile VAT n.k, halafu inakuja on top of that inakwangua pesa za watu kwa jina la tozo
Kwa kwenli tozo ni kama unyang'anyi wa wazi.
Mfano wa meseji ambao watu wanapata ni
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
LET US wait and see, how time heals!Mark this comment, mama hatapita kura za maoni kwahio atahudumu miaka yake mitano.tu atatupwa baharini kwenye kura za maoni, rais mpya atatoka kanda ya ziwa tena.. Nani?! Stay tuned!
Mark this comment.
Sasa mbona pale mbezi mwisho Nmb na Crdb watu wanajaa nyomi kila siku kufungua account
Wanabuni hadi tozo za kugegedana.
Ukipiga bao serikali inaingiza pesa.
Wewe hujakatwa hata thumni hadi dakika hii lakini umelishupalia hili suala utafikiri umekatwaHapa cha kufanya ni kwenda Benki na KUCHOMOA PESA ZAKO ZOTE kwenye account halafu uzitunze unapojua, kama ni kuzichimbia basi hewala. Maana ukiendelea kuziacha kwenye account basi maana yake ni kuwa kila ukifanya muamala nao wanajimegea portion kwenye hela yako ileile.
This is totally unfair!
Jitahidi basi kuongea kama mtu mwenye akili timamu.Hapa cha kufanya ni kwenda Benki na KUCHOMOA PESA ZAKO ZOTE kwenye account halafu uzitunze unapojua, kama ni kuzichimbia basi hewala. Maana ukiendelea kuziacha kwenye account basi maana yake ni kuwa kila ukifanya muamala nao wanajimegea portion kwenye hela yako ileile.
This is totally unfair!
Ni vizuri kuwa na ndoto lakini jitahidi basi kuota ndoto zenye uhalisia.Mark this comment, mama hatapita kura za maoni kwahio atahudumu miaka yake mitano.tu atatupwa baharini kwenye kura za maoni, rais mpya atatoka kanda ya ziwa tena.. Nani?! Stay tuned!
Mark this comment.