Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Kisaikolojia

Bifu na chuki hazisababishwi na watu Bali msongo was maisha was watu husika kile wanachopitia ndicho huwatia hasira na kuwa mind wengine!tunaita displacement reaction!

Uchumi umekaba, familiar inazingua malengo hayajatimia,mbona yule anaweza mbona mimi nashindwa!? Na baadhi ya maswali kama hayo husababisha cheche kidogo ya sauti kuzua mlipuko mkubwa was ugomvi na chuki zisizoisha!

Ndio maana wengine tuliamua kuwa kimya au kucheka TU ili kuepusha shari!!
 
We takataka peleka hesabu ya bosi wako
 
Makuzi nayo yanachangia, wengine wameathiriwa na magenge ya mtaani walipokulia.

Kwao matusi, kejeli, dharau, visasi vya kijinga na kupigana ovyo ni sehemu muhimu ya maisha yao.

Mungu akunyime vyote kasoro Akhlaq na adab.
Absolutely ni makuzi, malezi dhaifu, ukosefu wa lishe bora na ukosefu wa Elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…