Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
mpuuzi tu yule hasumbuiWana matatizo mtu humjui eti unapanga kupigana nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpuuzi tu yule hasumbuiWana matatizo mtu humjui eti unapanga kupigana nae.
Siku tukikutana kinawakaMtafute mkapigane [emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inafurahisha. Una bif na mtu msiyejuana.
Hii sasa ndio maana ya wireless.😂
As long as you hold your phone and read this mens its right infront of you tusitishane tafuteni hela acheni makasirikoJust pull up and say it to my face.
As simple as 1,2,3.
ana matatizo sana dogo.Hahahaaaa dah!
Eti usiyemjua unamchukiaje!
Ama kweli nyani [no pun intended] haoni la kwake 🤣.
Utoto shida sana.
Ila kumbe wakikua wanaacha.
Shida ilikuwa nini?Siku tukikutana kinawaka
Weka namba zako Mtani
You clearly don’t want the fade.As long as you hold your phone and read this mens its right infront of you tusitishane tafuteni hela acheni makasiriko
ana matatizo sana dogo.
Hawa madogo wana maneno sana toka wengine waingizwe mjini na wapemba imekuwa issue.Yo! Ushawahi kupigana mtaani au huwa unapigana JF tu? 🤣
KisaikolojiaHabari zenu 🖐
Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma.
Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona mademu akaanza sifa za kuji-mwambafy, bac yule jamaa nikamtuliza vizur tuu kwa upendo, bhana acha anitukane mbele za watu na kujifanya kama anataka kunipiga.
Mimi nikamsoma nikajua tuu huyu hana lolote ni muoga tuu sema anafanya hivo kisa ameona mademu anatafuta sifa, ulimbukeni wa ajabu sana.
Mimi sikufanya chochote nikamwambia bac yaishe, umeshinda.
Nilim-mind sana, tulivotoka pale kesho yake nikamfata personally alikuwa peke yake kwaio tulikuwa peke yetu "Ntu mbili" mm na yeye, nikamwambia "mwanang jana si ulitaka unipige, nipige bac asaiv" akaanza kujifanya kama haelewi, nikamwambia tena kwa sauti ya juu "nataka tupigane kama ulivotaka tupigane jana, si ulikuwa unatafuta sifa kwa wale mademu njoo bac asaiv tuzichape ntu mbili" jamaa akaanza kuomba msamaha mwanang na kusema hakuwa serious eti alikuwa anatania.
Hapa tunajifunza nini?? "The more quiet the man is, the more dangerous he is"
Kuna thread za mabifu nimeona zimeongezeka humu JF tokea juzi na watu wakitaka kupigana, Kwenu UMUGHAKA Hance Mtanashati GENTAMYCINE LIKUD Mjanja M1 na wote weny mabifu, ukiona mtu anakuja kweny uzi wako na anaanza kukutukana na kukuoneshea ubabe bila sababu achana nae msianze kupanga siku za kukutana kupigana vitasa, wanaoweza hayo mambo huwanaga mdomo wa kujitambatamba na kujionesha kwa watu.
We takataka peleka hesabu ya bosi wakoMkuu mimi kama kuna mambo nayapenda maishani mwangu ni Vurugu,Purukushani na Kutandikana!
Huwa nataka hata mmoja tu aniite mahali halafu tuonyeshane uanaume!,nimetahiriwa kwa kisu butu bila ganzi,yaani nipigwe na mwanamke?,Akianani nikipigwa na hao wanawake nitajiua siku hiyo!
Hao wajinga siku wakijidanganya wakaingia kwenye anga zangu wataenda kusimulia mabwana zao!.
Mimi si mtu wa Mkwara,Mkwara kule kwetu Rebu unapigwa na Mwanamke ambaye hajakeketwa (Musaghane)!
Kabisaa!!basi si tuendelee kuwa wapenzi watazamajiWasingewashiana moto huku, simple logic.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yo! Ushawahi kupigana mtaani au huwa unapigana JF tu? 🤣
Absolutely ni makuzi, malezi dhaifu, ukosefu wa lishe bora na ukosefu wa Elimu.Makuzi nayo yanachangia, wengine wameathiriwa na magenge ya mtaani walipokulia.
Kwao matusi, kejeli, dharau, visasi vya kijinga na kupigana ovyo ni sehemu muhimu ya maisha yao.
Mungu akunyime vyote kasoro Akhlaq na adab.
Amekuja PM analeta mikwara yake eti alishawahi kuwa jambazi anamiliki bunduki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yo! Ushawahi kupigana mtaani au huwa unapigana JF tu? 🤣
Ngoja watu wa Kaunda Suti wakusikie.Maisha yamekua magumu sana, yule sterling kwenye movie ya Royal tour ningependa nichapane nae live....
Comedy.Amekuja PM analeta mikwara yake eti alishawahi kuwa jambazi anamiliki bunduki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halooo nimecheka kinoma