Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Habari zenu 🖐

Naomba niwasimulie story fupi iliyotokea kipindi flani cha nyuma.

Kuna siku flani tulikuwa tumekaa na washkaji na baadhi ya mademu bac tunapiga story, jamaa mmoja baada ya kuona mademu akaanza sifa za kuji-mwambafy, bac yule jamaa nikamtuliza vizur tuu kwa upendo, bhana acha anitukane mbele za watu na kujifanya kama anataka kunipiga.

Mimi nikamsoma nikajua tuu huyu hana lolote ni muoga tuu sema anafanya hivo kisa ameona mademu anatafuta sifa, ulimbukeni wa ajabu sana.

Mimi sikufanya chochote nikamwambia bac yaishe, umeshinda.

Nilim-mind sana, tulivotoka pale kesho yake nikamfata personally alikuwa peke yake kwaio tulikuwa peke yetu "Ntu mbili" mm na yeye, nikamwambia "mwanang jana si ulitaka unipige, nipige bac asaiv" akaanza kujifanya kama haelewi, nikamwambia tena kwa sauti ya juu "nataka tupigane kama ulivotaka tupigane jana, si ulikuwa unatafuta sifa kwa wale mademu njoo bac asaiv tuzichape ntu mbili" jamaa akaanza kuomba msamaha mwanang na kusema hakuwa serious eti alikuwa anatania.

Hapa tunajifunza nini?? "The more quiet the man is, the more dangerous he is"

Kuna thread za mabifu nimeona zimeongezeka humu JF tokea juzi na watu wakitaka kupigana, Kwenu UMUGHAKA Hance Mtanashati GENTAMYCINE LIKUD Mjanja M1 na wote weny mabifu, ukiona mtu anakuja kweny uzi wako na anaanza kukutukana na kukuoneshea ubabe bila sababu achana nae msianze kupanga siku za kukutana kupigana vitasa, wanaoweza hayo mambo huwanaga mdomo wa kujitambatamba na kujionesha kwa watu.
Kisaikolojia

Bifu na chuki hazisababishwi na watu Bali msongo was maisha was watu husika kile wanachopitia ndicho huwatia hasira na kuwa mind wengine!tunaita displacement reaction!

Uchumi umekaba, familiar inazingua malengo hayajatimia,mbona yule anaweza mbona mimi nashindwa!? Na baadhi ya maswali kama hayo husababisha cheche kidogo ya sauti kuzua mlipuko mkubwa was ugomvi na chuki zisizoisha!

Ndio maana wengine tuliamua kuwa kimya au kucheka TU ili kuepusha shari!!
 
Mkuu mimi kama kuna mambo nayapenda maishani mwangu ni Vurugu,Purukushani na Kutandikana!

Huwa nataka hata mmoja tu aniite mahali halafu tuonyeshane uanaume!,nimetahiriwa kwa kisu butu bila ganzi,yaani nipigwe na mwanamke?,Akianani nikipigwa na hao wanawake nitajiua siku hiyo!

Hao wajinga siku wakijidanganya wakaingia kwenye anga zangu wataenda kusimulia mabwana zao!.

Mimi si mtu wa Mkwara,Mkwara kule kwetu Rebu unapigwa na Mwanamke ambaye hajakeketwa (Musaghane)!
We takataka peleka hesabu ya bosi wako
 
Makuzi nayo yanachangia, wengine wameathiriwa na magenge ya mtaani walipokulia.

Kwao matusi, kejeli, dharau, visasi vya kijinga na kupigana ovyo ni sehemu muhimu ya maisha yao.

Mungu akunyime vyote kasoro Akhlaq na adab.
Absolutely ni makuzi, malezi dhaifu, ukosefu wa lishe bora na ukosefu wa Elimu.
 
Back
Top Bottom