Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Ndo maana huwa sipendi kabisa matatizo na mtu kwasababu najijua nilivyo,huwa nachokozwa!.

Huwa nikichokozwa ili hasira zangu zipoe ni lazima nikukung'ute kwanza!
Tuliza Mori kijana acha kuruka ruka.

Umesha cancel ratiba yako ya kesho kanisani ili tubadilishane punches.

Sidhani kama kuna haja ya kuendelea kuongea wakati tumeshamaliza mjadala PM
 
Kuwa na bifu na mtu usiyemjua mtandaoni ni ugonjwa wa akili, huo muda sijui watu wanaupata wapi jamani!
Kutwa kuanzisha thread za ugomvi, eh!

Ni maoni tu jamani msinivae, mi sitaki ugomvi na mtu ✌🏽
Hahhahahaha unajua hata Jf ina wanachama wengi wehu wakiwemo hao wasuojuana ila wanataka kwenda kupigana sijui wanachukiana…kwakweli ni wagonjwa sana na hawana shughuli za maana za kufanya!
 
Aaaaaaaah qumamaqe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimelikumbuka lile bifu letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…