Nyie wanawake mliofikia umri wa dkk za mwisho hua hamtaki kuukubali ukweli πSasa wee mwanaume ndo umekua msemaji wa wanawake?
Ndoa sio lazima, hii ni kujilisha upepo.
Wanakera sanaChuma chakavu hao na ndo tabia zaoπππ
Wee Mpare em niache huko.Nyie wanawake mliofikia umri wa dkk za mwisho hua hamtaki kuukubali ukweli π
Mnajifariji huku mkiwapoteza wasichana wadogo ili waje kuwa kama nyie via vya uzazi vimechoka kwa kupelekewa moto na kuachwa umri umesonga π
Na unaweza ukawa single mother hapo π
Hutak tuongee?Wee Mpare em niache huko.
Iwe kweli ulivyosema au laah, bado hoja iko pale pale, Ndoa ni Hiyari.
Afu mbona malalamiko na kelele zinatoka kwenu nyie Wanaume, badala ya wanawake husika wenyewee.
Hamjistukiii? πππππ
Sasa km nyie Wanaume mnapiga miti na kuwaacha single mother, hamuwaoi, na mnajua kuwa hawawezi olewa na wanawake wenzao, sasa hizi kelele zenu zinakujaje?Hutak tuongee?
Kwan wanawake wanaolewa na wanawake wenzao au na wanaume?
Tulieni tuendelee kuwapiga miti na kuwaacha masingle mother mana hamna akili.
Ukweli mchungu ila acha uzi usonge songe huenda watapata kitu cha kutushitukia vijana wa hovyo hapa.Uzi ufungwe hili ndio jibu.
Huwa wako bize na vijana wale masharobaro wenye swaga lakini sio waowaji ni hit & run.
Pia wanakuwa na wazee wa kuwahonga pesa nyingi kwa hiyo wewe ukimfuata kwa lengo la kumuoa anakuona boya hata hakusikilizi
π€£π€£π€£ Sasa iniume nini, kutumika utumike wewe alafu niumie mie, sema umechakazwa na soko limeisha, nani atakuoa now ulishakuwa mshangazi unalea vijanaNimepewa bure sasa kwanini niuze?
Wewe unauziwa πΉπΉ
Dai risiti ya EFD
Kuna la ziada zaidi ya kufua viboksa mchaniko πΉπΉ
Mimi huo upuuzi nimeukataa, pole km imekuuma ila habari ndo hiyo..!!
Nishajipiga kifua mara kenda hapaWanawake wana muda mfupi sana wa kuringa
Kama wewe ni mwanaume jipige kifuani na like hapa kwa kujua hakuna kuzeeka wala kuchuja
Mngekuwa na akili msingeachwa single motherSasa km nyie Wanaume mnapiga miti na kuwaacha single mother, hamuwaoi, na mnajua kuwa hawawezi olewa na wanawake wenzao, sasa hizi kelele zenu zinakujaje?
Wakati nyie wenye wajibu, hamtimizi?
hivi unajua kuna watu kiasili sio malaya ila hawajawahi kupata mume. Hao unawashauri nini.Hakuna anayeingilia, watu wanashauri tu. Ukiona jinsi wanawake wenye umri 26 hadi 35 wanavyotafuta ndoa kwa waganga na manabii basi tunaguswa kutoa mchango wa mawazo tu kua ukiwa kwenye peak ya uzuri usifanye biashara au fantasy za ngono na bad boys halafu baadae ukaanza kulialia kutafuta ndoa
Kivipi?Mngekuwa na akili msingeachwa single mother
Si ni upendo huo mama? au una kitu gani kingine cha kuoffer kwakeNikate tamaa kwa nyie MAFURUSHI? πΉπΉ
Hivi nyie mnawazaga wanawake wote tunawaza kufua viboksa vyenu vilivyopigwa na changamoto mpk vimetoboka?!! Eti Eehh ππΉπΉ
Ukiifika miaka 28 hata 30 haimaanishi kuwa hautaolewa akija mtu sahihi kwenye maisha yako atakuoa haijalishi una miaka mingapi Nina rafiki yangu kaoa mwanamke mwenye miaka 34 Hadi Sasa wanamiaka 6 kwenye ndoa na wanamtoto mmoja kitu cha muhimu zaidi usidai ndoa Kama vile unadai deni maana wapo vijana wa ovyo wanaweza kutumia hitaji lako la ndoa Kama kete yao kukuchezea. Ukiona upo kwenye mahusiano ambayo hayana healthy usiforce kuendelea hapo ndio wanawake huwa wanapoteza muda waoNinapokutana na hizi mada huku nikijiangalia na miaka yangu 28 nachanganyikiwa sasa sijui nijioe au ???? Enewei
Bora ningezaliwa mwanaume
Unamaanisha nini?Sema mkuu ujue ndoa na uzuri ni vitu viwili tofauti
Wife material hawezi kuvuka 25 hajaolewa. Kama past yako haina makando kando basi bila shaka ulichotwa akili na feminists waliokuambia career ni muhimu zaidi ya familia.Ninapokutana na hizi mada huku nikijiangalia na miaka yangu 28 nachanganyikiwa sasa sijui nijioe au ???? Enewei
Bora ningezaliwa mwanaume
Kuna namna kuna jambo ulikosea ulipokuwa 21 - 26Ninapokutana na hizi mada huku nikijiangalia na miaka yangu 28 nachanganyikiwa sasa sijui nijioe au ???? Enewei
Bora ningezaliwa mwanaume