Imekuuma that’s why unajiliza wanawake wakubali kuolewa ili mpone biporal 😹😹🤣🤣🤣 Sasa iniume nini, kutumika utumike wewe alafu niumie mie, sema umechakazwa na soko limeisha, nani atakuoa now ulishakuwa mshangazi unalea vijana
Shoo upo?Umeandika kwa hasira sana mbona?
Kwahiyo shoo umeamua uwe msimbe maisha yote? Sasa mali zako atarithi nani? Au unawafanyia kazi ndugu?
Nyinyi ma-single maza mna ghadhabu sana, mmegongwa hovyohovyo na bad boys na kuzalishwa halafu wamewapiga chini mnaanza kuchukia wanaume wote.Ngoja nimalize kucheck in nakurudia tulia hapo hapo…!!
😅😅😅Huyu dem amepanikImekuuma that’s why unajiliza wanawake wakubali kuolewa ili mpone biporal 😹😹
Mwenzio sijawahi kulea mwanaume wa rika lolote mwenye mbupu zake wala wenye vitraco laini km wewe..!!
Halafu sibebi mafurushi yani mpk upate access ya ku-unlock paja zangu ujue wewe sio mwanaume wa kawaida..!!
Levels babes hatubebi bebi machizi fresh ili kuufurahisha umma wa MAMBWA Okay?
Sasa hapo nimepanic nini? Unachekesha wewe 😹😹😹😅😅😅Huyu dem amepanik
Halafu sasa mtu kama huyu ndio anajifanya msauri wa mabinti wadogo kuhusu mahusiano. Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 27+ au single maza😅
Ushahama tena unanipa usingle maza 😹😹Nyinyi ma-single maza mna ghadhabu sana, mmegongwa hovyohovyo na bad boys na kuzalishwa halafu wamewapiga chini mnaanza kuchukia wanaume wote.
Elewa hakuna mwanaume mjinga sasahivi achukue single maza au age-go kama nyinyi ili afanye nae maisha, nyinyi tunawabandua kisha tunawapiga chini
Punguza nyege, km wewe ulipatikana vilabuni mamayo alipotelekezwa ni wewe na familia yako..!!Single maza mwingine huyu🤣🤣
Vingi vipo si anamuongezea ukoo kwa kuteseka na mimba miezi 9Si ni upendo huo mama? au una kitu gani kingine cha kuoffer kwake
Hiyo pekee haitoshi Kama nikuzaa kila mwanamke anazaa utofauti wako na wanawake wengine ndio utakaomvutia kuwa na Wewe zaidiVingi vipo si anamuongezea ukoo kwa kuteseka na mimba miezi 9
Km ni offer si angezaa na ndugu zake? Eboo
“Mwanamke huolewa kwa sababu nne: kwa mali yake, kwa uzuri wake, kwa nasaba yake, na kwa dini yake. Basi chagua mwenye dini, mikono yako ibarikiwe.”, otherwise kuwe na factor nyinginezo zimbebe
Umemaliza mkuu“Mwanamke huolewa kwa sababu nne: kwa mali yake, kwa uzuri wake, kwa nasaba yake, na kwa dini yake. Basi chagua mwenye dini, mikono yako ibarikiwe.”
View attachment 3490468
Nipo shoo na mtoto anaendelea vizuri mdogo wake yupo njiani ndani ya miezi miwili hapo, Inshaallah!Shoo upo?
Baby anaendeleaje? 😍
Kuolewa sio kipaumbele changu aisee.,!!
Mtoto nikitaka nampata muda wowote ila muda wa kuishi na mtu km wanandoa sijafikiria 😹😹
Si ndio ile mnakaa kwenye uchumba miaka 10 unajua umepata kumbe mwenzako naye anatafuta😂Hiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba.
Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume..
Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?
ITOSHE KUSEMA MKIWA KATIKA HILO RIKA MNACHAGUA SANA WANAUME
Miaka 22 hadi 26 utapata kijana mzuri tu wa kukuoa, Ila kuendelea hapo kupata Kijana wa kukuoa ni nadra labda mubaba.
Mara mseme sisi kama maparachichi kila mteja nayashika shika tu anayaacha mpaka yanabonyea! Na tuna majina aisee😥🙆🏽♀️Mwanamke ni kama nyanya sokoni kadiri inavyokosa mnunuaji ndivyo inavyoharibika haijarishi itatunzwaje ila itaharibika tu.
ILYSM❤️Wasengee hawa wanajua kila mwanamke anahitaji kuwa mtumwa na kutekeleza order za kipumbavu..!!
Yani nishazoea kupikiwa na kufuliwa na kutoa order then boom kijinga kimoja kianze kunipanda kichwani kichukue nafasi yangu?? Wengine hapana hatutaki 😹😹😹
Sio kuolewa tuHivi kuna ulazima kuolewa? 😏
Nikate tamaa kwa nyie MAFURUSHI? 😹😹
Hivi nyie mnawazaga wanawake wote tunawaza kufua viboksa vyenu vilivyopigwa na changamoto mpk vimetoboka?!! Eti Eehh 😝😹😹