Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

.........Asifiaye mvua imemnyea.
So you speak from experience Sir 🤔

Unajua kuyasemea vibaya hayo makabila inakuwa kama kuyaharibia Image yao, kuna Mabinti zetu watakosa Wame kwa maneno yako ujue.

Manake kama ni ishu ya Changamoto za ndoa, ipo kila Kabila. Muhimu vijana kumuhusisha Mungu wakati wa kutafuta wenza wao wa ndoa na maisha.

Ukichagua Mke kwa kigezo cha Tako, siku hizi kuna matako ya China na Uturuki yamejaa tele. Mungu awasaidie
 
[emoji91][emoji91][emoji91] noumaaaah nimekumbukaa mbalii daaah.

Leta na ule wa "kanifuata"
 
Hapa umeongea ukweli wenyew

wanaume tutafute pesa tuache mboyoyo mingiii
 
Ye mwenyewe kaachnaa na yule mtarajiwa wake mm ni mchaga ila aisee kuliko niowe mchaga bora nikae single
 
Baada ya wachaga wenzao kuwakimbia Siku hizi wanailewa kanda ya ziwa kwa Wasukuma na Wahaya. Ndo hawa mnaosikia kwamba wanaolewa kwa ndoa za gharama kubwa. Huko kanda ya ziwa waoaji wanafuata rangi na mabinti wanafuata mapenzi.
 
Yaan unataka kusema wanawake wa Arusha wana Pesa kuwazidi wanaume wao waliowaoa yaan wanaume wa Arusha waliooa wameolewa au unamaanisha nini ? Kwako Depal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…